Hivi hii ni normal au nina tatizo?

BOSS, kwa maoni yangu sioni kama hilo ni tatizo bali inaonyesha mapenzi yako ya kweli kwa huyo binti na ndiyo maana unaona wivu. Na katika mahusiano mengine na mke wa mtu unaweza kabisa kumshawishi ili avunje ndoa yake na kupata uhuru wa kuwa pamoja bila wasiwasi wowote na hili limeshatokea mara nyingi sehemu mbali mbali duniani, labda ukishajua binti kaolewa basi ni kuingia mitini haraka sana ili kupunguza tatizo lako, lakini huwezi kumpenda mtu na usisikie wivu hata akiwa mke/mume wa mtu especially kama kuna mapenzi ya kweli kati yenu.
We we Boss. Hivi hujasikia watu wanavyofanyiziwa kwa mambo hayo. Watafanya kitu mbaya huku wanaku chukua mkanda wa video shauri yako.
 
another thing my dear boss, stop flirting behaviors, some women dont understand that and take everything serious and before you know it, you already have her on bed.
hapa carmel umegonga ikulu kabisa, kuna ka dada nilikuwa nakachekesha chekesha kazini mara kuna siku kakaniita kwenye gari yake na mambo ya ajabu ajabu ....................(naomba nisiimalizie hii stori kwa ajili ya usalama wa ndoa ya klorokwini)
 
BOSS, kwa maoni yangu sioni kama hilo ni tatizo bali inaonyesha mapenzi yako ya kweli kwa huyo binti na ndiyo maana unaona wivu. Na katika mahusiano mengine na mke wa mtu unaweza kabisa kumshawishi ili avunje ndoa yake na kupata uhuru wa kuwa pamoja bila wasiwasi wowote na hili limeshatokea mara nyingi sehemu mbali mbali duniani, labda ukishajua binti kaolewa basi ni kuingia mitini haraka sana ili kupunguza tatizo lako, lakini huwezi kumpenda mtu na usisikie wivu hata akiwa mke/mume wa mtu especially kama kuna mapenzi ya kweli kati yenu.
Wewe Boss: Hivi hujasikia watu wanavyofanyiwa vibaya na mambo hayo. Watakufanyizia huku wanachukua movie yako shauri yako. Kama unashindwa kujizuia tafuta shughuli ya kufanya zaidi na hayo. Kama mazoezi, kuenda kanisani etc.
 
za mwizi arobaini .........watu wenye tabia kama yako huwa wanaishia kupigwa *****na wanaume wenzao.Acha mchezo wa kula vya watu vya halali
 
another thing my dear boss, stop flirting behaviors, some women dont understand that and take everything serious and before you know it, you already have her on bed.

THAT IS SO TRUE,YOUR FLIRTING BEHAVIOR WILL COST YOU SOME DAYS BOSS...Kwa sasa wewe ndio unakuwa king'ang'anizi sasa utalia kilugha pale hao wake/mademu za watu watakapo anza kukung'angania wewe! Wala hii sio possessive behaviour ni kujiendekeza tu!
NA UNADAI WEWE UNAE WAKO UNAEMPENDA!!! Kweli ungetoka nje hovyohovyo hivi? POOR HER
 
boss mie kwanza ningependa kujua una avoid vipi .............kisha ndio tukueleze ufanyeje
 
wewe boss: Hivi hujasikia watu wanavyofanyiwa vibaya na mambo hayo. Watakufanyizia huku wanachukua movie yako shauri yako. Kama unashindwa kujizuia tafuta shughuli ya kufanya zaidi na hayo. Kama mazoezi, kuenda kanisani etc.

tena sala itakusaidia kukaa mbali na huu ushetani boss wangu, hebu jaribu then utatupa feedback!
 
Nadhani ungeshughulikia kwanza tatizo KUBWA la Kucheat na wake za watu halafu ndo utatue taizo la wivu.
 
another thing my dear boss, stop flirting behaviors, some women dont understand that and take everything serious and before you know it, you already have her on bed.

Kama kweli umedhamiria kuacha tabia hii, ongeza ukaribu na mke wako. Mara nyingi panapokuwa na gap, lazima gap hilo lijazwe.Let your wife be your best fried.Kwa sababu uko busy na wake na wachumba wa watu kwa namna moja ama nyingine u-busy na ukaribu na mke wako umepungua, na lazima gap hilo kwa mke wako lizibwe.Kuna uwezekano mkubwa likawepo lijutu au mamutu yanayokusaidia kuziba gap hili kwa mke wako.

This is how you can stop the flirting behaviour na umsaidie mkeo asiendelee kumegwa na majamaa mengine ili ku-fill gap
 
thread yako kama sijakosea inasomeka "Hivi hii ni normal au nina tatizo?"...Naomba kuibadili isomeke "Hivi hii ni normal au nina MATATIZO?".... Matatizo yako ni haya yafuatayo
1- kutoka nje ya ndoa yako
2- kutoka na wake/wachumba za watu
3- kuzini
4- kumkosea mungu

Msaada unahoitajika utakuwa tofauti kulingana na kila tatizo
1- kutoka nje ya ndoa yako- hapa unavunja kiapo chako cha ndoa inakubidi umuombe radhi mkeo na urudi kweli katika kiapo chako cha ndoa
2- kutoka na wake/wachumba za watu- ACHA MARA 1- maana hapa uhai wako upo mashakani na hata kama hautotoka basi utapata jereaha kubwa sana lisilofutika moyoni mwako milele..utageuzwa yakheee...na video tape itarekodiwa jinsi mijibaba inavyokula bata wako kwa muhogo
3-kuzini- uzinzi hapa unaweza kukuletea maradhi hasa hili gonjwa hilii la hiv/aids/ukimwi/ngoma
4- kumkosea mungu- boss bana hapa inabidi ufanye toba ya dhati na ujutie sana kosa hili..hakuna kitu kibaya kama kumzingua mungu kiaina...anaweza akupige konzi ujuuuute kumfahamu.
 
Mke wa mtu ni sumu kama ya nyoka - cobra; mchumba wa mtu wakati wewe ni mume wa mtu ni sumu vile vile. Je, wewe umeacha wake wangapi? Ujuwe na wewe wanakugongea tu! Utakuja kutana na wanaolinda sambusa zao kwa ndumba ndio utakoma - aidha shafti yako itanasa; itakuwa inazimika mara unaposogelea sambusa; au itanyofolewa na panya - Tanga huko; au utakuwa unakojoa dagaa tu - kama ni huko Kigoma; au uta - paralyse kuanzia kiunoni mpaka miguuni; au utafumaniwa na kushughuliwa au kufa.

Katafute huyo mganga aliyekupaka hiyo midawa au aliyekuwekea hilo jini ambalo linawafanya wake na wachumba wa watu wakuone kawa waume zao au wachumba zao! Huo ni ushetani!!! Fuata kama dini yako inavyokuelekeza, kama ni ya kweli lakini!!
 
]Hujanisaidia bado........

kuna wakati niliwaza kutembea na sime kali au panga ndani ya gari yangu kwa ajili ya watu wakorofi kama wewe....nikawaza nikaona Bwana Yesu atosha kunilindia mali zangu( kisasi ni juu ya Bwana)
msaada ni huu: yu need spiritual counselling/ maombezi na mafundisho pia ya neno la Mungu
yu need kusoma biblia na kufanya sala mara kwqa mara Mungu atakushindia
waza mambo mengine kama michezo, kukuza kipaji chako (sizungumzii kipaji cha ibilisi chakutongoza wake za watu) kusoma vitabu
wake za watu ni hatari sana nakushauri auche mara moja.
 
Bossss!!!Jipanguse kwanza!!Duh!......Maana mmi hapa natetemeka!!Tena unashangilia katika kiuno cha mwanaume mwenziyo kwaufurahia utelezi!!Kwahali hiyonajua huvai kondom!!Sasa bwana Boss nihivi kuna usemi wansema ukionja asali unatakiwa kuchonga mzinga!!NA TATIZO HAPO MKEO HUMPENDI HATAMKIPIGA SHOW UNAIMBA UBETI MMOJA UNASEMA UMECHOKA!!Ilakwawake zwatu unasimamia show kweli simchezo!!Napenzi nimoja tu unayekutana naye ukajisikia unampenda huyo ndo mpenzi wako sasa Boss ukipenda mke wamtu kumbuka vitu hivi!(1)Bulett proof(2)Chupi ya chuma,(3)Kukimbia riadha zakuanzia mita 100 faster!!Ndo shahuri wangu JF tunakupenda!
 
Just see what the Lord said to Abimelech!

3 But God came to Abimelech in a dream by night, and said to him, Behold, thou art but a dead man, for the woman which thou hast taken; for she is a man's wife.
Gen 20:3 (KJV)
 
Nashukuruni sana...
Kwa kweli mmenisaidia sana....
Kama nilivyosema i am not proud with that
but ni kama weakness hivi......
Nitajitahidi nishinde majaribu....
 
another thing my dear boss, stop flirting behaviors, some women dont understand that and take everything serious and before you know it, you already have her on bed.
Alaaa! kumbe wapo wa hivyo? mi ndo nawatafutaga hao............mkiwaona mniambie!!
 
Nashukuruni sana...
Kwa kweli mmenisaidia sana....
Kama nilivyosema i am not proud with that
but ni kama weakness hivi......
Nitajitahidi nishinde majaribu....
Mkuu huu ni uhuni 100% na ukiamua kuacha unaacha. Wanawake wapo na wanatamanika sana tu.
 
Jamani naomba mnisaidie kwa hili tatizo......

Imenitokea kama mara tatu hivi kiasi kwamba naanza jiuliza
kama nna tatizo kubwa kisaikolojia au vipi??????

Not that i am proud of this but mara kadhaa nimejikuta
kwenye relationship na mke wa mtu hivi au mchumba wa mtu hivi

mwanzo huwa nakuwa sipo serious saana......kwa hiyo nakuwa sijali sana..

Sasa baada ya mda huwa naanza kuumia mimi.
I mean mke sio wangu lakini nashikwa na wivu .....
Yaani badala ya ku enjoy kuiba naanza kutaka kuwa kama ndo mume
mwenyewe wakati na mimi nakuwa na wangu ambaye nampenda,,,,
sasa hii possesive behaviour huwa najiuliza ni normal au nna tatizo kubwa???

Nikitaka nisiwe na tatizo hili ni vipi nifanye....?????

I mean huwa napata maumivu ku break na mke wa mtu au mchumba wa mtu kuliko
na wa kwangu.......

Yaani its so stupid but ndo reality.......

Halafu ni kama nimerogewa hivi.....nikimsalimia tu mke wa mtu...
She is on me.......ni kama vile trouble is looking for me
hata nikijitahidi ku avoid vipi........

duniani kuna type za watu wengi sana. yaani unaongea bila hata aibu kuwa unaiba wake za watu, subiria siku utakapokatwa iyo nanii na utakula kwa macho...una laana au?
 
Boss kama ni kweli unadeka na kujiendekeza, kuona ndio kuamini kaza buti kidume yatakayo kukuta ndio yako. kula au kuliwa
 
Back
Top Bottom