Hivi hii nayo ni sababu wajamen?

achana naye kabisaaa. tena kimbia mkuu. hiyo ni sababu tu kalivua penzi kitambo. ingekua mke ningekushauri ufikirie mara mbili lakini changudoa??? forget and get another one. kwani anadhani wao ni kumi na mbili kama mitume. they are like matatus (daladala), you miss one you catch up the next
 
mkuu,mawasiliano yangu ya mwisho ndo yalikua ya kuagana,nkamwambia nxt day me ntachomoka 2 dar,bt nimefka huku nkawa busy kdogo na mambo ya shule,nkajkuta cku znakatka bila kumcheki!
Ok,cha kufanya tumia njia hizo hapo kumbembeleza kwa vile mnapendana yataisha ila hata kama uko busy tafuta dk moja tu ya kumjulia hali.
 
Ok,cha kufanya tumia njia hizo hapo kumbembeleza kwa vile mnapendana yataisha ila hata kama uko busy tafuta dk moja tu ya kumjulia hali.

lakni mkuu,me kilicho nichosha zaidi,ni mbona na yeye hakufanyaga utaratbu wa kunichek,vp kama ngekuwa nimepata let say ajali,ingekuaje?
 
alikua anakupima huyo jitahidi kuongea naye face2face maana sms au call muda mwingine sio nzuri coz huoni expression ya mtu mbembeleze mtoto huyo
 
Mkuu sidhani kama anajua ni nini unafanya na ulikuw akatika mazingira gani kukosa mawasiliano kwa wiki moja iwe sababu kubwa ya wewe na yeye kutengana
May be aliaccumulate matatizo kwa muda mrefu sana au kuna kitu kimepita hapo kati kati yako na wewe hili la kukosa mawasiliano likaja tibua kila kitu
Jaribu kumpa muda wa kucalm down na then mtafutie nafasi ujue kisa ni nini na wewe pia uwe na sababu imara za kwa nini hukuwasiliana nae kwa wiki nzima
 
lakni mkuu,me kilicho nichosha zaidi,ni mbona na yeye hakufanyaga utaratbu wa kunichek,vp kama ngekuwa nimepata let say ajali,ingekuaje?
Sasa sio muda wa kulaumiana au kushindana rekebisha kwanza hali ya hewa,then mambo yakishakaa vizuri mwambia kuwa nae anao wajibu wa kukutafuta coz inawezekana umemzoesha wewe ndio unamuanza siku zote,kwa vile naamini kwa sasa yeye hajitambui kama alikosea anachoona ni wewe una makosa na si yeye.
 
alikua anakupima huyo jitahidi kuongea naye face2face maana sms au call muda mwingine sio nzuri coz huoni expression ya mtu mbembeleze mtoto huyo

mkuu,kuonana nae face 2 face kwa sasa ni ngumu,ni hadi mwezi february semister ikiisha as me nko dar na yeye soon atakua mwanza ingawa kwa sasa yuko arusha.
 
Mkuu sidhani kama anajua ni nini unafanya na ulikuw akatika mazingira gani kukosa mawasiliano kwa wiki moja iwe sababu kubwa ya wewe na yeye kutengana
May be aliaccumulate matatizo kwa muda mrefu sana au kuna kitu kimepita hapo kati kati yako na wewe hili la kukosa mawasiliano likaja tibua kila kitu
Jaribu kumpa muda wa kucalm down na then mtafutie nafasi ujue kisa ni nini na wewe pia uwe na sababu imara za kwa nini hukuwasiliana nae kwa wiki nzima

asante kwa busara zako mkuu.
 
mkuu,me nimekuja kupga supp huku dar na yeye yuko arusha!

dah! Senetor supp inakukosesha mchuchu,mana umekuwa busy na supp umemsahau bibie ona sasa analalamika,ok mtwange na msg ya apologize ukimueleza sababu ya kukaa kimya,hata hvyo nae mbona alikaa kimya? Au mwanamke hapaswi kumuanza mwenzie punde akiona kimya? Hapo kuna walakin mkuu! Maliza hyo supp wasije wakala kichwa ukakosa chuo na mchuchu,umenipata?
 
akunyimae kunde kapunguzia ma........................
anza upya hakufai,ila kama unampenda ongeeni uone response yake maana mapenzi bila mawasiliano mtihani kweli
 
Jamani wiki nzima hujaongea na kipenzi chako! Huwa unaongea na nani sasa? Kwangu mimi mawasiliano ni kipimo kikubwa cha uhai wa penzi.
 
mkuu,me nimekuja kupga supp huku dar na yeye yuko arusha!

Ndio shida ya kijiingiza kwenye mapenzi mkiwa wadogo! Utasup sana kwa style hiyo! Kamata kitabu; mchumba utampata ukianza kazi!
 
kwani wewe wk nzima ulikuwa wapi? tena kavumilia sana wki ikaisha
 
TAKE IT EASY MKUU,then subir hasira zake zimuishe................then fanya mpango ukiwa unarudi na zawadi na umfanyie suprize upitilize mpaka kwao na kama anaishi mwenyewe usiku huo utalala hapo,na just fanya vile vitu ambavyo vitamfanya akuamin na unampenda zaidi c unajua wanawake wanapenda kubembelezwa?

kuwa mbunifu wa mambo ambaya unajua ukimfanyia mpenzi wako ataappriciate
 
Back
Top Bottom