Hivi hii kauli ya Mwl. Nyerere alikuwa amefikiria nin mpaka akasema hiv.

Hapo alikuwa akionya na kutahadharisha baada ya kuona kuna wimbi kubwa linakimbilia kupangisha pale kwa miaka 10.
 
Nyerere alikuwa mwanafalsafa wa maono ya mbali aliyeweza kujifunza trend ya mambo na kuchukua hatua haraka pengine kabla hata ya wengi kujua maana ya alichokuwa akikifanya. Alifanya hivyo alipochukua uamuzi wa "Kung'atuka'" katikati ya kupendwa na kuthaminiwa na watanzania wengi kiasi cha viongozi na wananchi wengi kumshangaa na baada ya kungatuka alitumia muda mwingi kuisadia nchi na dunia ya tatu kufuata mwelekeo wa uadilifu na heshima na haki bila kujali madongo maadui zake waliyokuwa wakimtupia. Aliikemea hali ya wafanyabiashara kujipenyeza kwa viongozi wa juu serikalini na waziwazi alionyesha kutokubaliana na warithi wake walipoonekana "kumezwa" na mafisadi waliokuwa wakijipenyeza ikulu kupitia familia za viongozi. Aliyaweka bayana mawazo yake bila ya kuwaogopa na kwa njia hiyo walijirekebisha kwa kiasi fulani au walifanya ufisadi wa chinichini. Aliweka wazi kwamba hakuwa mwanachama " Hai" wa CCM baada ya kuiona imepoteza mwelekeo ( Alikiri kutolipa ada kwa miaka kadhaa), alikemea udini, ukabila na ubaguzi wa aina yoyote akiufananisha na " kula nyama za watu" kunakofanywa na wachawi ambao wakishaingiwa na pepo la kula nyama za watu hawaishiwi hamu ya kufanya hivyo. Akikemea ukabila, udini na ubaguzi alifika mbali kwa kusema "ukimwona kiongozi yeyote anahubiri sera za udini, ukabila na ubaguzi ujue kafilisika, hana jipya kwa taifa na hafai" Watanzania tulipaswa kuliona hilo wakati wa uchaguzi CCM walipoonyesha waziwazi hali ya kubaguana wao kwa wao na Mgombea u-Rais wao kuhubiri "Udini". Zile zilikuwa indiketa kwamba CCM na uongozi wake ulikuwa umechoka, umefilisika na umefikia kikomo.
Kwa kifupi Nyerere alisema vile kwa kuuona mwelekeo wa warithi wake walioonyesha uroho wa hali ya juu wa kujilimbikizia mali kifisadi. Kwa bahati mbaya alifariki mapema na hapo ndipo hujuma kubwa dhidi ya uchumi na usitawi wa nchi zilitendeka kwa kufuru - kina Mkapa wakigawana hadi nyumba za serikali zilizojengwa hata kabla hawajazaliwa, wakirithishana migodi, mashamba na rasilimali nyingi za taifa maana taifa halikuwa na wa kulisemea. Binafsi naamini ombwe la Nyerere linaweza punguzwa na uongozi makini wa CHADEMA ili mradi tuuunge mkono. Mungu ibariki Tanzania.
 
Hapo aliona kuwa baada ya kung'atuka walio-mrithi wamepamudu zaidi yake na nchi ikaanza kuondoka kwenye matatizo na lindi la umasikini, akaanza kuona wivu na kusema hovyo, katika fikra zake alifikiri kuwa yeye ndie yeye na hakuna mwingine, kumbe duhh, watu wana vichwa vya utendaji kuliko yeye mwenye kichwa cha u komedi na alinacha.
 
Nyerere alikuwa mwanafalsafa wa maono ya mbali aliyeweza kujifunza trend ya mambo na kuchukua hatua haraka pengine kabla hata ya wengi kujua maana ya alichokuwa akikifanya. Alifanya hivyo alipochukua uamuzi wa "Kung'atuka'" katikati ya kupendwa na kuthaminiwa na watanzania wengi kiasi cha viongozi na wananchi wengi kumshangaa na baada ya kungatuka alitumia muda mwingi kuisadia nchi na dunia ya tatu kufuata mwelekeo wa uadilifu na heshima na haki bila kujali madongo maadui zake waliyokuwa wakimtupia. Aliikemea hali ya wafanyabiashara kujipenyeza kwa viongozi wa juu serikalini na waziwazi alionyesha kutokubaliana na warithi wake walipoonekana "kumezwa" na mafisadi waliokuwa wakijipenyeza ikulu kupitia familia za viongozi. Aliyaweka bayana mawazo yake bila ya kuwaogopa na kwa njia hiyo walijirekebisha kwa kiasi fulani au walifanya ufisadi wa chinichini. Aliweka wazi kwamba hakuwa mwanachama " Hai" wa CCM baada ya kuiona imepoteza mwelekeo ( Alikiri kutolipa ada kwa miaka kadhaa), alikemea udini, ukabila na ubaguzi wa aina yoyote akiufananisha na " kula nyama za watu" kunakofanywa na wachawi ambao wakishaingiwa na pepo la kula nyama za watu hawaishiwi hamu ya kufanya hivyo. Akikemea ukabila, udini na ubaguzi alifika mbali kwa kusema "ukimwona kiongozi yeyote anahubiri sera za udini, ukabila na ubaguzi ujue kafilisika, hana jipya kwa taifa na hafai" Watanzania tulipaswa kuliona hilo wakati wa uchaguzi CCM walipoonyesha waziwazi hali ya kubaguana wao kwa wao na Mgombea u-Rais wao kuhubiri "Udini". Zile zilikuwa indiketa kwamba CCM na uongozi wake ulikuwa umechoka, umefilisika na umefikia kikomo.
Kwa kifupi Nyerere alisema vile kwa kuuona mwelekeo wa warithi wake walioonyesha uroho wa hali ya juu wa kujilimbikizia mali kifisadi. Kwa bahati mbaya alifariki mapema na hapo ndipo hujuma kubwa dhidi ya uchumi na usitawi wa nchi zilitendeka kwa kufuru - kina Mkapa wakigawana hadi nyumba za serikali zilizojengwa hata kabla hawajazaliwa, wakirithishana migodi, mashamba na rasilimali nyingi za taifa maana taifa halikuwa na wa kulisemea. Binafsi naamini ombwe la Nyerere linaweza punguzwa na uongozi makini wa CHADEMA ili mradi tuuunge mkono. Mungu ibariki Tanzania.

Si kweli, nyerere alishachokwa, na kabla ya kung'atuka nchi ilikuwa nyang'a nyang'a hata dawa za meno hakuna, kanda mbili hatuna, tunatumia matairi.

Hivi ulikuwepo? au unasikia tu?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom