Ni juzi tu (Jumanne) tumesoma kwenye mitandao yakuwa Bwana mkubwa Mkuu (JMK) kaandaa Sherry Party kwa ajili ya Mabalozi wa mataifa mbali mbali, Leo hii my wife wake nae Kawaita wake wa mabalozi na kuwafanyia Sherry Party. hivi hii imekaaje? haikuwezekana Kufanywa Sherry party moja hao mabalozi wakaja na wakezao? au sherry party ni kama Kitchen party, kuna za wanawake na za wanaume? au mimi ndo mshamba sijui?
harafu si ndo hao hao mabalozi na nchi zao ndo wanasema watanzania tunawapa misaada mingi lakini hawatumii katika mambo ya msingi na maendeleo? mbona nao wameruhusu hilo au ni jambo lamsingi na maendeleo?
sioni vibaya kuwa na hiyo sherry party ila kwanini ziwe mbili wakati waandaaji na waalikwa wote wanatoka katika familia moja tena ni wanandoa? au jamani mnasemaje?
MICHUZI: RAIS JAKAYA KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI TAFRIJA YA MWAKA MPYA - SHERRY PARTY, IKULU LEO JIONI
JIACHIE