Hivi hii ikoje kwenu?

Sijuwi sijaeleweka kwasababu ya uandishi tu au ni kutokana na kitu nilichokiongelea hakiingi akilini kwa hapa kutokana na kuwa membe wa jf wapo despersed kwa sana.
Na nikisema kuhusu kuonana, ninamaana ya kujumuika pamoja ktk eneo walilokubaliana kwa ajili ya hilo. Tuseme kwa member waliopo dar, wanaweza kufanya kitu hiki hasa kupitia uongozi au memberz wenyewe tu
Wanakutana sana tu hata juzijuzi wengine walifanya party ya new year
 
Mods hawana ulazima wa kuwepo ktk hili.
"Acheni kwanza nijipange then nitaandaa tafrija ya kiasi na kuivite baadhi ya wana MMU"
we fanya tu ila watakaokuja hawatajitambulisha wao ni kina nani
 
we fanya tu ila watakaokuja hawatajitambulisha wao ni kina nani

Nilikuwa natishia kufanya kumbe huwa inatokeaga kweli.
Lakini lengo ni kujuana na bila ya kujitambulisha = 0
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom