Suzie
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 1,259
- 409
Nakiri mimi sio msikilizaji wala mtazamaji wa hizi media za Clouds, leo kuna mtu kanipa lift kwenye gari yake akawa amefungulia hii radio ghafla tangazo la biashara likagonga "hallo Boss nimepiga nikukumbushe cha asubuhi, boss akashukuru simu ikakata alafu boss akaita mke wangu cha asubuhi basi, mke akajibu tumechelewa kwenye gari basi. Hapo mtangazaji akamalizia usikose cha asubuhi pawa brekifast hapa Clouds fm"
Tulikaa kimya mimi na aliyenipa lift sababu tuna gap la maadili, kwakweli nilishindwa hata kumgeuzia shingo kumuangalia usoni mama wa watu nanilihisi the same kwake kwani kimya kilitawala ghafla nikamuona akibadilisha idhaa.
Wasiwasi wangu nikwamba hawa watu wanafikiri kujitangaza ni kwanjia ya uhamasisho wa kingono.na sidhani kama departments zake ziko well organize isije ikawa ma-director na familia zao wana play big part ya management na wako un professional. Ila wanaboa sana
Wanajisahau kama na watoto zao watasikia na wazazi wao pia. Embu wakuu nisaidieni hasa mnaopenda hii media mtujuze