Hivi haya mapenzi mwisho wake huwa unakuaje?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Habari za wakati huu wananchi wenzangu!!hvi haya mapenzi tunayoyaona huku vyuon huwa yanadumu kweli au ndo after school kila mtu na hamsini zake?
 
Chuo unapata tu ujuzi wa KUUMIZA na KUUMIZWA basi. Hamna cha ndoa. Labda ucheze kama pele, fasta unagonga mimba na unamkomalia asiichojoe, labda, yaani labda ndo utanufaika japo na kid.
 
chuoni watu ndio wanapata chance ya ku-experiement na kuanza kupata ujuzi wakutofautisha kati ya infatuation na love.
 
sasa unataka uruke stage? Hangaika nayo tu uone kitakachotokea. Kwa nini uumize kichwa kujiuliza hivi siku jua likikataa kuchomoza utafanya nini, do u have a solution?
 
Wengi huwa hawadumu kwani life la chuoni ni "fake life". Vijana wengi hutegemea bumu kuhongea wanawake na akifika mtaani hata kupata buku ni ishu hivyo kama demu alimpendea ile hela ya kuhonga ndio basi tena anakubwaga kutafuta mwenye hela.
 
mwisho wake hadi litokee buzi limnyang'anye mwanafunzi msiachana wake and the vice verse.
 
Inategemea watu na watu wengine wanaendeleza hadi kufunga ndoa.
 
Wanafunzi wanaibiana sana. Wanashare love, kama kinachotakiwa ni usiwe na wivu kupitiliza. Lasivo unapasuka huo moyo wako mmoja tu na hauna hata spea.
 
Wachache sana huwa wanadumu na kuona,nafikiri ni 8% tu ya hao wote unawaona.

Mkuu kati ya 8% zako hizo nami nimo make nimekuwa na mahusiano na binti mmoja toka 2007 mpaka leo, 2nategemea mwakani 2nafunga ndoa na pete ya uchumba nimeshamvalisha. Kipindo 2nameet, yeye ndo alikuwa amemaliza A-level pale Msalato nami nikiwa 2rd year. Akaingia Mlimani akamaliza bachelor yake huku mie nikiwa nimemaliza kitambo ila kazi nilikuwa sijapata. Basi bibie kanivumilia s/time alinisitiri na bumu lake, last year ndo nikapata kazi, so, now mambo sio mabaya naona 2uungane kisheria naye nimemtafutia kazi anajitegemea. Ila college love linahitaji uvumilivu sana ndo maana walio wengi haliduma coz kati yao wanapendana kimaslahi tu, nasi 2livumiliana, nampa Big up! Zawadi yake ngoja nimweke ndani 2faidi matunda ya uvumilivu.
 
heri yako..
 
Back
Top Bottom