hivi haya majizi yaaacha lini tabia hii? Be aware JF members

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
Someni hapo chini muone eti huyu kanitumia kwenye PM yangu.....mi mwenyewe natafuta mtu wa kumpiga sasa huyu si ananichakesha huyu

Hi
My name is juliet i am new in this site i saw your profile and like it i will like you to contact me back through my private email(julietsalman4u@hotmail.com)so that i will tell you more about me and send you my photo for you to know me better remain bless remember age and distance does not matter in real relationship......

julietsalman4u@hotmail.com
 
Huyu mtu nami alishanitumia sana "julietsalman4u@hotmail.com" ni tapeli sana
 
Mkuu hao ni wa kuangalia unakuta anataka kujua ww unatumia which email huku si unakuwa unatumia majina Bandia thus why kwa email anatoa ya kwake aliyotengeneza then anakutumia picha ya mwanamke mzuri unaingia mkenge kwa hiyo Dont be mjinga kaka unamtoa tu maanani shida yake ajue ww ni nani only upo wapi unafanya kazi wapi anakupata kirahisi
 
Back
Top Bottom