Hivi hawa wenyeviti wa Kamati za Bunge na Utouh wanafikiria nini?

Mkodoleaji

JF-Expert Member
Apr 27, 2008
458
138
Jamani nimeshangaa sana kuona Mh. Mrema, Mh. Cheyo na Mh. Zitto wakiwa na CAG Utouh akitoa maoni kuhusu ufisadi serikalini. Kwanza ni vizuri Mzee Utouh ameweza kuanika ufisadi. Lakini kitu kinachonishangaza ni hawa wenyeviti wa Kamati za Bunge kumsikiliza mtu ambaye bunge wanaloliwakilisha lilisema inabidi aachie hiyo ngazi.

Hivi hawa waheshimiwa hawaoni kuwa hapo wanajichanganya?
 
Back
Top Bottom