Hivi hawa watu nd'o hawasikii kilio cha wananchi jamani?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Si kwa ubaya lakini jeshi la polisi la Kenya limekua too much!!!
Angalia hizi video kisha utoe uamuzi.









 
Last edited by a moderator:
Si kwa ubaya lakini jeshi la polisi la Kenya limekua too much!!!
Angalia hizi video kisha utoe uamuzi.

Mkuu nakubaliana nawe Police Brutality siyo kitendo kizuri, lakini kusema ukweli MUNGIKI thugs ni watu hatari zaidi kuliko Police wa Kenya, na nina hakika Police wa Kenya wanajua jinsi ya kuwa-contain.
 
Back
Top Bottom