Hivi Hawa Wamakonde Bado Wapo?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Makonde_woman.jpg
 
Aisee picha ya marehemu bibi yangu Binti Liokoto umepata wapi, na unaitumia bila ridhaa ya marehemu wala watu wake wa karibu! Uko hatarini kuingia mahakamani aisee
 
teana sanatuu wapo we acha kwa majambozi ktk kitanda nooumaaa usijaribu kama kwenu hukuaga,
nawapenda sana
 
Aisee mbona tupo wengi sana ingawa kizazi hiki kinapotea maana huko kuchanja chale kwa kizazi hiki cha makonde.com kimeisha, so walobaki ni wazee tupu. Bila kuchanja zamani ilikuwa kama mwanamke hupati mume au mke, hiyo ilkuwa ndo fashion yenyewe ni kama mmasai, mpare au msomali bila kukeketwa watu watakutema mate tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom