Hivi hawa the so called EWURA kazi yao ni nini?

kwetu ni sh 2315......sijui kama itakuwa imeongezeka coz siku hizi mambo ni kimya kimya........
 
Nipo kikazi huku Kagera Wilayani Karagwe bei ya Petrol ni Tsh.2,400 Hakuna cha EWURA wala HEWALA maisha kama mieleka ya akina John Cena
 
kwetu ni sh 2315......sijui kama itakuwa imeongezeka coz siku hizi mambo ni kimya kimya........

Tuliyonunua magari kwa bahati mbaya au mikopo itabidi tupaki maanake hali inatisha. Diesel sijui ni 2181, petrol Preta kanisaidia tutemee hali kuwa mbaya zaidi kuanzia nauli za daladala, chakula n.k
 
Tuliyonunua magari kwa bahati mbaya au mikopo itabidi tupaki maanake hali inatisha. Diesel sijui ni 2181, petrol Preta kanisaidia tutemee hali kuwa mbaya zaidi kuanzia nauli za daladala, chakula n.k

hali ni mbaya.......
sijui tutafanyaje....
 
Hii regulatory body inatia Aibu! Dar petrol 2332 kwa litre! Mikoani 2500 Hii ni Aibu ! Toeni angalizo basi hata Kama mume nunuliwa na gurus wa biashara za mafuta

Hili linchi Kila kitu fake
 
Wakuu hi bei ya petrol niaje kwa taribani miezi mitatu sasa bei imekua ikipanda tu na sasa naona inaelekea 2500
 
Nguvu zilielekezwa Arumeru na sasa msiba, nakushauri upost tena hili wazo baada ya maziko, ni suala nyeti sana.
 
Hii regulatory body inatia Aibu! Dar petrol 2332 kwa litre! Mikoani 2500 Hii ni Aibu ! Toeni angalizo basi hata Kama mume nunuliwa na gurus wa biashara za mafuta

Hili linchi Kila kitu fake

Hawa EWURA ni vihiyo na wababaishaji. Hawajui kabisa wajibu wao,wapo pale kula pesa ya Watanzania kwa kuwatoza kodi za kipuuzi kabisa kwenye MAFUTA,MAJI NA UMEME. hAKUNA WANACHO-REGULATE pale zaidi ya ubabaishaji.

Kwanza walitudanganya kuwa wakianza UTARATIBU WA KUNUNUA MAFUTA KWA MTINDO WA BULK OIL KUPITIA SIJUI TPDC BEI YA PETROL ITASHUKA. Lakini wapi!!!!!

Mimi naona hapa tatizo siyo EWURA, tatizo ni SERIKALI YA MAFISADI AMBAYO INAWEZA KUINGILIA KILA AINA YA CHOMBO NA MCHAKATO WOWOTE ULE ILI KUVURUGA NA KUFANYA HALI ZA WATANZANIA ZIZIDI KUWA NGUMU. Dawa ni kuwang'oa CCM madarakani. Ukisha waondoa CCM kwenye UTAWALA BASI UTAKUWA UMEONDOA UOZO WOTE WA UFISADI NA NCHI ITAKUWA YENYE NEEMA NA HERI TUPU.

Tuombeni Mungu aharakishe kutufikisha 2015 tukiwa na Katiba Mpya ili CCM tuwapumzishe. Hii nchi si ya kulalamika na kulialia kwa sababu ya hali ngumu za maisha. Hakuna sababu. Wnaotuumiza ni CCM na MAFISADI. Kila mtu amesikia kile WACHINA walichosema kuhusu Tanzania. VIONGOZI NDIYO CHANZO CHA UMASKINI TANZANIA.
 
Back
Top Bottom