hivi hawa madem wanaokuja friday night live biashara

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,698
1,395
hawa wadada walioko FNL wana wazazi kweli?
wanakera na nyie waandaji mjipange mnatangaza
biashara?
Hebu kaone haka kanachojifanya amber rose akijichekecha kidogo tu lazma watu tuone UA..
LAST WEEK WALIKUWEPO WATATU WANAKATA VIUNO MWANZO MWISHO..
WAPI MAADILI YA MTZ
 
Mkuu hizo mbona ni biashara ulikua hujui. Ukimpenda mmoja wapo unatuma tu sms pale ujumbe unamfikia.
 
unauliza makofi polisi? Au vumbi pit?
Wakale wapi?

Biashara matangazo, weka embe zako chumbani kama hazijakuozea.
 
unauliza makofi polisi? Au vumbi pit?
Wakale wapi?

Biashara matangazo, weka embe zako chumbani kama hazijakuozea.

Ebwanaeee, wangewabandika na price tag kabisa.. Mtu uchague wakwenda nae kubadilishana vikojoleo
 
Mkuu hizo mbona ni biashara ulikua hujui. Ukimpenda mmoja wapo unatuma tu sms pale ujumbe unamfikia.

Thanx kwa confirmation.. Week ijayo ndo tarehe za mshahara ngoja ntachondoa mmoja tukatumie wote jasho langu
 
washakuwa kama masponji yalojaa maji.
Anyway, kama unanjaa hata broiler mtamu, ila kiboko kuku ya kienyeji bana.

Eheheheheh... Umenipa point hapo ingawa umefichaficha kidogo.. Ngoja nijiongeze...
Supu ya kuku wakienyejiiii....ni taaamu saaanaaa..
GOT U WELL
 
hawa wadada walioko FNL wana wazazi kweli?
wanakera na nyie waandaji mjipange mnatangaza
biashara?
Hebu kaone haka kanachojifanya amber rose akijichekecha kidogo tu lazma watu tuone UA..
LAST WEEK WALIKUWEPO WATATU WANAKATA VIUNO MWANZO MWISHO..
WAPI MAADILI YA MTZ

Waache,wanasaidia kupunguza stress..
 
Inategemea na upuuzi. Sio kila upuuzi una maana. halafu kongosho sio man. Kongosho ni woman.

Kongosho anashare password na mkewe thats y mnaona comments zake zinageukageuka according to context... Akikomenti bibie watu tunamuona demu akilog in man kongosho mwenyewe raia mnaaanza zengwe...
Eheheheehh
 
Back
Top Bottom