Hivi,, hawa jamaa wanaelewa kweli?!

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Jul 8, 2010
849
103
08_10_ktxa09.jpg

TAIFA Stars new coach Jan Poulsen from Denmark gives instructions to players during the team’s training session at the Karume Memorial Stadium in Dar es Salaam on Wednesday. (Photo by Yusuf Badi)
 
Wanaelewa bana! Kwa nini wasielewe? Wengi wao walau wamemaliza kidato cha IV; watashindwa kuelewa ung'eng'e wa jamaa?
 
:hippie:Wanaelewa bana lugha ya mpira tofauti na ya class pia wengi wao wanatoka simba na yanga timu zinazofundishwa na makocha kigeni.
 
:hippie:Wanaelewa bana lugha ya mpira tofauti na ya class pia wengi wao wanatoka simba na yanga timu zinazofundishwa na makocha kigeni.

ikiwa wanaelewa kwa kuwa yanga na simba wanafundishwa na makocha wageni, kwenye mashindano nje ya Bongo premier legue wanaperform?
 
wanaelewa ingawa kutakuwa na baadhi ya maneno wakitoka hapo inabidi yatafutiwe Dictionary
 
ikiwa wanaelewa kwa kuwa yanga na simba wanafundishwa na makocha wageni, kwenye mashindano nje ya Bongo premier legue wanaperform?
kuelewa wanelewa ila kumbuka kuelewa ni tofauti na kutenda ktk boli unaweza kuelewa unachoambiwa ukifika ground ukafanya maambo tofauti hii inatokana na akili yako imekuwa vipi kisoka
 
U mean kuelewa lugha au kuelewa maelekezo? Manake ni vitu viwili tofauti, ndo mana kuna watu ukiwaelezea kwa kiswahili na bado anaweza asikuelewe, ingawa kaelewa ulichoongea!
 
anaweza kuelewa maelekezo anayopewa,je ana uwezo wa kutenda alichoelekezwa.mfano unaweza ukamfundisha mtoto jinsi ya kujenga ghorofa ila je ana uwezo wa kulijenga.:disapointed:
 
kuelewa wanelewa ila kumbuka kuelewa ni tofauti na kutenda ktk boli unaweza kuelewa unachoambiwa ukifika ground ukafanya maambo tofauti hii inatokana na akili yako imekuwa vipi kisoka

Mkuu maana yangu ilikuwa hivyo. Ukielewa lazima utenda kama ulivyo elekezwa. hawa jamaa wanasikia tu. But they don't understand although they know the language.

Kujua na kuelewa re two different things. Our player most likely dont understand what they are instructed although they know what they are supposed to do.
 
tatizo sio kuelewa bali ni wameelewa kulingana na mwalimu anavyotaka waelewe?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom