Hivi hawa HESLB wanataka kutoa mikopo kwa watu wangapi na wa vijijini wamewafikiria?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Mabadiliko ya jinsi ya ujazaji wa form za mikopo kutoka HESLB ni wa kisiasa tupu, watu wenyewe walio wekwa kwenye help desk na hawapokei simu. Zinaita mpaka zinakata, na sometimes hazipatikani.

Sasa mimi nauliza;
HUYU ALIYE THIBITISHA KUWEKWA KWA COMPLICATION ZOTE HIZI NI NANI?

JAMANI WATANZANIA TUSIKUBALI KIJINGAJINGA MAMBO YA MSINGI KAMA HAYA.
Wanakijiji watasoma kweli elimu ya juu?

Kuna watu wengi wanamaliza form six hawawezi kutumia compyuta je na wao watapata kweli mikopo, ikiwa hata mimi mwenye utundu wa kutumia compyuta nimetumia shiringi 25000/- ya kupiga simu bila hata kufanikiwa kujaza hata hizo form?

Wanajamii mnasemaje kuhusu mabadiliko haya, HESLB wapokisawa kweli, na serikali imeliona hili?
 
Jamani naomba munisaidie coz nimesha poteza kiasi cha fedha bado wananizingua, Asubuhi nilipata line moja ikaitaa haikupokelewa sasa hivi inaniambia haipatikani
 
Na kama hamutaki kuniamini jaribuni namba hizi muone
0657-200991, 0655-500991, 0659-500991, 0657-200998, 0689-100006, 0689-100007, 0689-100008, 0764-664424, 0767-664428, 0767-664429
 
mh! nahisi hizo ni kma mbinu zao za kuchachua, maana kila mtu anasema hizo form hazifahamiki vizur na ukiwatafuta kwenye simu uwapati kma hivy, poleni
 
Dah noma kama ni hivi Basi HESLB wamechemka, sasa si watafute campuni nyingine waendeshe?
 
Wewe wasema, lakini ninavyo wajua Wabongo wanavyopenda kuchukulana ujiko, wanaweza kukutimua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom