Hivi hatuna warembo zaidi ya hawa?

Bundewe

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
400
141
Hawa ni baadhi ya washiriki wa miss Kagera, vipi wako bomba?

group+2.JPG
 
lips whatssss au ndiyo smile
naona bos wa mashindano hayo kuna namna na pia lu......a nae
Conquest-crap
 
Mbona wana vitambi....au kitu banana,wa pili kutoka mwisho kavaa jezi ya juventus au?
 
hawa ni baadhi ya washiriki wa miss kagera, vipi wako bomba?

group+2.jpg


mimi mboa sielewi... Wanatafuta mwenye mdomo mkubwa au mwenye kitumbo kilicho jaa local brew...!!!! Basi watatu either kutoka kulia au kushoto ndiyo miss lubisi..
 
Nimempenda huyo wa mwisho mfupi na hako ka refu ka kwanza kushoto, wanafaa kushinda.
 
Pamoja na vitambi na midomo kama vuvuzela na brush zote hizo, tatizo kubwa zaidi ni upstairs! Form four failure ndio wadau wakubwa wa tasinia hii! Matokeo yake vinakariri majibu, vinapanic vinashindwa kusema! Washiriki wetu Miss World hata kwenye background tu hawaonekani! kazi kubeba vinyago na mipicha ya twiga! Ubunifu uko wapi?
Lundenga nae ni libeneke tu!!! haaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom