Hivi hapa tuna raisi kweli?

JAMANI hapa tuna raisi kweli? Hiki ndicho kilichompeleka NewYOrk juzi.
Mimi binafsi naumia sana, ni bora tuongozwe na chizi kuliko huyu jamaa.

kaka chizi umeptlza mie naona bora hata F.DOVUTWA angalau angetufaa.
 
Kinacholeta hasira ni rais kuvurunda mpaka maisha yamekuwa jiwe so watu wanaona kawasahau anaponda maraha
 
Ukisoma kwenye red sijajua unakataza nini na unataka nini kifanyike (watu wa kariakoo ni wapumbavu?).....Ninachokifahamu mimi ukiwa Raisi wa nchi kuna mambo mengine unazuiliwa kuyafanya hata kama unapenda kuyafanya ....Utakuwa umeambiwa ujibu hii thread na msemaji wa Ikulu wewe.. kama ungekuwa na busara signature yako isingekuwa hivyo.....by the way The helll was full and we are back! na neno Pumbavu ni la kiswahili kama ulikuwa hujui...!
siwezi kutetea safari za kijingajinga kisa jamaa moja anapenda entertainment ...

ni kwa sababu huwezi kusoma in between the lines....a great stinker ppphuuuu!!!!

.....Ninachokifahamu mimi ukiwa Raisi wa nchi kuna mambo mengine unazuiliwa kuyafanya hata kama unapenda kuyafanya .......

ufahamu wako ni duni kwa sababu ya uvivu wako wa kutofikiri na kujishughulisha kujua mambo yanavyokwenda duniani...matunda ya kudesa...mnataka kila kitu mtafuniwe...hukuona world cup 2010 kwa Madiba..wakubwa walivyomimininika kutazama soka? kwa mtu mwenye akili ndogo kama wewe utafikiri walikuwa wanapoteza muda...tafiti mdogo wangu...unakula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua!

....Utakuwa umeambiwa ujibu hii thread na msemaji wa Ikulu wewe.. ...

mawazo na akili ya kitoto vinajithibitisha katika hoja hii...eti nimetumwa...kila mwenye mawazo tofauti ametumwa....i said wewe si great thinker..you a cheap great stinker! kwa taarifa mimi sina akili na mawazo ya kushikiwa kama wewe...bendera fata upepo!

kama ungekuwa na busara signature yako isingekuwa hivyo.....by the way The helll was full and we are back! na neno Pumbavu ni la kiswahili kama ulikuwa hujui...!...

i said...you are a bloody great stinker....hiyo signature ni nukuu ya maneno yalisemwa na Sir Winston Churchil, nna shaka hata kama umewahi kusikia hilo jina, muhimu zaidi nna shaka kama unaelewa maana ya hayo maneno....!

mwisho mdogo wangu..heshima ni kitu cha bure na muugwana ni vitendo...pamoja na mapungufu yake bado mheshimiwa Rais anahitaji heshima kama kiongozi wa nchi na muhimu zaidi kama binadamu...

lugha uliyotumia si ya kiungwana na haikubaliki katika jamii ya waliostaarabika(wenye kushindana bila kupigana) vinginevyo utuambie kuwa wewe ni hayawani na kama hivyo ndivyo basi tutakusamehe maana hayawani hawezi kulingana na binadamu...ni ushauri wa bure anyway!!!
 
jamani haya mambo mbona wengine hatuwaoni kupiga hizo picha kwa mfano Kibaki,kwanza huyu nina muda mrefu sijamsikia akikwea pipa ughaibuni kipindi kirefu,pia tuna Kagame,hata yule mcheza umkhomboti Zuma sijaona akipiga hizo picha
 
Back
Top Bottom