Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Hope you are all good as normal!wakuu,kuna binti mmoja nimetokea kumpenda na tayari nimemwambia kuhusu hisia zangu na amenikubalia.sasa linalonitia wasiwasi kuhusu huyu binti ni namna yake ya mawasiliano,yani yeye hapigi simu,hatumi texts wala kufanya chochote mpaka mimi nimuanze.nilimuulza kuhusiana na hyo tabia yake akaniambia tu eti yeye huwa ni mvivu wa mawasliano,wakati mwingne huwa nahisi labda vocha ni tatizo najaribu kumrechearge but atanitumia tu txt moja ya asante then anakua kimya.ila kinacho nishangaza kila ninapompigia cmu ananichangamkia vizuri,ananiambia alinimiss kwa muda wote ambao hajasikia sauti yangu na mengine mengi.sasa wakuu,nauliza,hvi hapa napendwa kweli au nalazimishia kupendwa tu,maana me nispoanzsha mawasliano na yeye anauchuna,nifanyaje?