hivi hapa JF...wakaka

kumdhihirishia dada dinnah kuwa wakaka wa JF mpo fit,wekeni picha zenu basi tuwaone...:msela::hungry::hungry:

Mmmhhh..... pauline tumefika huko.... kwa ukaguzi niko tayari ila kuweka picha... ha ha haaaa
 
Naomba unikagulie nguli jabali, klorokwini, cpu, akili unazo, bujibuji, mkamuajipu, mtoboa siri, da womanizer, chriss mambo, bacha, hashycool umalizie na the boss naomba majibu baada ya wiki
 
Nimecheka nikamkumbuaka marehemu Dr. Remmy anasema 'mwanamume ni mashine'
 
Naomba unikagulie nguli jabali, klorokwini, cpu, akili unazo, bujibuji, mkamuajipu, mtoboa siri, da womanizer, chriss mambo, bacha, hashycool umalizie na the boss naomba majibu baada ya wiki

pm yako inapokea picha?
 
all that time nilikuwa najua ile ya kiarabu ndo yako
na pengine michelle ali fall na ile.lol
so what now??????lol
Mkuu nina cardinal rule yangu kwamba make people expect less alafu unawapa zaidi kuliko wanaexpect mambo makubwa alafu unashindwa kudeliver.., hapo utakuwa umeharibu kila kitu... Wakiexpect less no matter what utakuwa ume-overdeliver
 
hivi ukitaka kuquote watu wawili na zaidi unafanyaje?lol
Mambo Pauline si unaona hapo kwenye reply na Reply with Quote kuna box pembeni ? sasa unagusa hapo kwa wote unaotaka kuwa-quote inatokea tick sasa kwa yule wa mwisho hugusi hapo unagusa Reply with qoute zinatoka zote hata kama ziko page tofauti,hebu jaribu nijuwe umeelewa NB: si umeona nilivoshambuliwa kwenye thread yako ya mgomo ? yote nimekubali kwa hiyo 'true smile' yako lol!

Naomba unikagulie nguli jabali, klorokwini, cpu, akili unazo, bujibuji, mkamuajipu, mtoboa siri, da womanizer, chriss mambo, bacha, hashycool umalizie na the boss naomba majibu baada ya wiki
Kwahiyo mimi utanikagua mwenyewe sio lol!
 
haa haa aliona amepata arabian prince
kumbe mswahili wa mbagala.now she is confused...

hebu nieleweshe kaka...
mie waliexpect less nikawapa zaidi au waliexpect zaidi nimewapa less?.....l.o.l
kwetu mbagala mchafukoga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom