Hivi hakuna bia za kichina??

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Kwa wenye udodondozi embu tupatieni njia ya kupata bia za kichina
nahisi zitakuwa nzuri na tamu sana ukilinganisha na bidhaa zaow anazotuletea
si hivyo naamini hata bei nazo zitakuwa za kichina kulinganisha na hawa wapogor wenzetu
wa s.afrika waliokuja kutukwangua pesa zetu
weekend njema
 
ipo sigereti, inatumia chip ya electronic, unavuta haiishi, kitu rechargerble!!!!
 
Ikiwa mafuta ya kupikia wanatengeneza kutokana na maji machafu yanayotoka karoni na vyooni, fikiria hizo beer wanazitengeneza na nini?
 
Dah bia ya kichina tena hiyo ukinywa lazima ulewe kichina china yani ulevi feki!
 
Kuna kitu inaitwa Tsingtao, alc. 5.5. Iko bien terribly arif
 
hahaha!umewaza nini hivi we Basiasi!mie nagonga za mkaburu buku mbili mpaka 30!karibu
 
Mbona zipo kibao, nenda Tandale, Mwananyara na Tandika ziko 24/7 alali mtu
 
Kwa wenye udodondozi embu tupatieni njia ya kupata bia za kichina
nahisi zitakuwa nzuri na tamu sana ukilinganisha na bidhaa zaow anazotuletea
si hivyo naamini hata bei nazo zitakuwa za kichina kulinganisha na hawa wapogor wenzetu
wa s.afrika waliokuja kutukwangua pesa zetu
weekend njema

We acha kuchokoza wachina watamwaga upuuzi bia zetu zitakosa soko. Cheap made in china beer itaua soko. Usiwasitue!!!
 
Hii mada itawafanya ambao hawajafika China wafikiri China ni nchi ya ovyo inayotengeneza vitu feki. Kiukweli China ni nchi iliyopiga hatua kubwa sana kiviwanda tatizo liko kwa wafanya biashara waTanzania wanaoomba kutengenezewa sub standard goods na makampuni ya China
 
ikiwa mafuta ya kupikia wanatengeneza kutokana na maji machafu yanayotoka karoni na vyooni, fikiria hizo beer wanazitengeneza na nini?

mpwa kama hayo mafuta ya maji machafu umekunywa tangu unakuwa na umeweza kuwa jamvini leo unahisi ina tatizo ??
 
Back
Top Bottom