Hivi Enzi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa Kulikuwa na Matawi ya CCM Nchi za Nje??

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Ndugu zangu wanaJF,
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la ufunguzi wa matawi ya ccm nje ya nchi kama vile UK, URUSI, n.k. Sikumbuki kama hali hiyo ilikuwepo enzi za wazee wetu Nyerere, Mwinyi na Mkapa. Tafadhali wenye kumbukumbu nzuri wanijuze kama kweli hata enzi za wazee hao kulikuwa na matawi ya ccm huko nje ya nchi. Kama hayakuwepo, kwa nini hivi sasa hali hiyo imeshamiri kiasi hicho!!! Au ndiyo mwendelezo wa tabia ileile ya 'usanii'
 
Back
Top Bottom