Hivi elimu na siasa vinaendana

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
Inajulikana kua nchi inaongozwa na siasa ndani ya katiba na sera,mfano,shule nyingi hazina maabara,elimu kwa vitendo ipo chini,na kwani elimu si vyumba vya madarasa hasa kwa elimu ya sekondari.siasa na sera zake zinapochanganywa na elimu je inakuaje hapa,weekwend njema
 
Da msee mpaka wameingia elimu ya juu kuna kitu kinaitwa TCU wao wanapewa order na magamba kwa hiyo sasa kwa hapa Tanzania hakuna kitu kuanzia kindergaten up to university level uzushi mtupu kama una mavumba nenda zako nje ukale nondos msee
 
Kwani siasa nini?
Huwezi kutenganisha siasa na maisha yetu ya kila siku bro. Tatizo sio siasa, tatizo ni utekelezaji wa sera ambazo kimsingi ni matokeo ya siasa. Ukisikia mtu anasema tutenganishe siasa na elimu ni sawa na kusema tutenganishe siasa na maisha yetu ya kila siku.
Siasa inazaa sera. Siasa inazaa sheria na utaratibu ambao, kwavyo tunaendesha maisha yetu. Siasa ni lifestyle, kama vile ujamaa, ubepari nk. Ni utaratibu unaowaongoza watu kuishi na kufanya shughuli zao.

Tusijidanganye. Watu wengi wanao dis siasa kiukweli hawajui maana halisi ya siasa.
 
According 2 conflict theory by Karl max, politics z' product of human social lyf,xo bro when u relate politics wid education,normally we use politics in order 2 run educational matters,as wel as we use politics in order 2 challenge academic issues example the issue of using kiswahil language as medium of instruction 4rm primary level 2 higher leaning .xo u can't separate education with politics
 
Nadhani una pointi nzuri, ila umeandika kifeisbukfeisbuk sana.
Ni kama sijakuelewa kabisa. Siku nyingine ujaribu kutumia lugha inayoeleweka.
Sawa mkuu?
 
Back
Top Bottom