Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Nyege sio tusi, ni hisia, kama vile hasira,huzuni,furaha,njaa, n.k nyie ndio mnaoamini ngono ni kitu kibaya sana, sijui mngezaliwaje?Jamani naomba jadilini hoja na sio kutoa matusi. Hii inaonesha awp hujaonesha ukomavu hata kidogo.
kumbuka si wote wanapenda kuona matusi. Kiongozi dhaifu ajadiliwe na udhaifu wake lakini sio kutoa matusi kama haya ambayo yanatia aibu. Plz Jirekebishe.