Hivi Dr Mary Nagu kapatwa na nini leo?

kaburunye

JF-Expert Member
May 12, 2010
672
74
Jamani, namsikiliza Dr Mary Nagu akitoa hoja yake ya majumuisho ya bajeti ya waziri mkuu. Naona anaongea kwa kutetemeka na anakosea kosea sana kutamka maneno. Kapatwa na nini huyu mama leo? Anaongea kwa hofu na mashaka na kutokujiamini
 
Unauliza majibu! ww haujui kama hali yao ni mbaya, unamkumbuka Pinda? mara akajikuta anamwita.... waziri mkuu, kimsingi wamepagawa
 
Jamani, namsikiliza Dr Mary Nagu akitoa hoja yake ya majumuisho ya bajeti ya waziri mkuu. Naona anaongea kwa kutetemeka na anakosea kosea sana kutamka maneno. Kapatwa na nini huyu mama leo? Anaongea kwa hofu na mashaka na kutokujiamini
Buzi lake moja limekata kamba, ndiyo maana anaonekana hayuko stable kifikra.
 
Unaweza kuwadanganya watu kwa wakati fulani tuu, huwezi kuwadanganya wote kwa wakati wote, mwisho wao umefika na miti yote huteleza sasa basi hakuna ujanja tena,
 
Alimkumbuka marehemu baba yake mzazi aliyefariki huko arusha ndio akaanza kulia.
Ukisema alimkumbuka ni kama vile ilimjia ghafla, lakini alijiandaa kwa makaratasi yenye details ndefu kuhusu mazishi, hospitali alipofia, kwamba alikufa yeye akiwa bungeni, kasoma majina na shout out kwa watoto wa kuzaa na watoto wa kulea, katoa shout out kwa mumewe mpenzi, shout kwa Kikwete, kapongeza mawaziri walio survive reshuffle, kamtaja Lukuvi etc. etc. Mwisho wa siku akaanza kulia.

Kabla ya hapo alikuwa Hawa Ghasia, nae katoa shout out ndefu kuhusu wazazi walivyomlea, na mumewe mpenzi anavyolea watoto. Kabla ya hapo speaker alitoa karipio kwa wabunge wanavyotumia muda wao bungeni, well, hizi shout out ndefu mbona zinaachiwa?
 
baba yake ilikuwa kisingizio, alikuwa na nyege

Jamani naomba jadilini hoja na sio kutoa matusi. Hii inaonesha awp hujaonesha ukomavu hata kidogo.
kumbuka si wote wanapenda kuona matusi. Kiongozi dhaifu ajadiliwe na udhaifu wake lakini sio kutoa matusi kama haya ambayo yanatia aibu. Plz Jirekebishe.
 
Alimkumbuka marehemu baba yake mzazi aliyefariki huko arusha ndio akaanza kulia.
Hivi kila mtu akikumbuka marehemu ndugu zake bunge si litakuwa msiba? mzushi tu. Nimeambiwa na mtu wake wa karibu wizarani kwake anadai alikuwa analia sababu wizara yake imepewa pesa kidogo za safari za nje. Mama anapenda safari kinoma.
Halafu ana roho mbaya kishenzi, alishawahi kumshusha kwenye gari na kumuacha porini afisa wake mmoja wakiwa pamoja safarini baada ya kutofautiana jambo fulani alipokuwa viwanda na biashara..leo anajifanya anajua kulia.
 
Jamani, namsikiliza Dr Mary Nagu akitoa hoja yake ya majumuisho ya bajeti ya waziri mkuu. Naona anaongea kwa kutetemeka na anakosea kosea sana kutamka maneno. Kapatwa na nini huyu mama leo? Anaongea kwa hofu na mashaka na kutokujiamini

Dhamila inamshitaki. Anajua anayosema ni uongo na hayatekelezeki.
 
Back
Top Bottom