Mdau Makini
Member
- Sep 18, 2012
- 70
- 10
Ndugu waungwana, mimi naomba mnitoe ushamba katika hili,SIMU nyingi zina Dot au hata kama sio Dot basi ni Alama fulani mithili ya dot tofauti na Button zingine kwenye Button namba 5. mfano;Nokia E5, Nokia E72.... Hiyo ni mifano kiduchu zipo nyingi.Hivi hizi dot zina maana gani??,au zina kazi gani???...au zina uhusiano gani na hii Button??.Naomba msaada wenu waheshimiwa japo sina uhakika kama hii thread ndo ilibidi ni Post hapa!.