Hivi Dar kuna kampuni inayokopesha gari?

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Wakuu naona sasa kila nikizikusanya zina pelea sasa naomba kama anayejua kampuni inayo kopesha gari kwa watumishi/wafanyakazi Dar anisaidie make naona ndoto za kuwa na usafiri wa miguu 6 inashindikana kutimia.

Nawasilisha.
 
Ziko ila kuna kitu fulani nikujulishe kuna watu wanaweza kukufuta wakukopeshe au wakupe gari ili uwape pesa ( mkopo ) wengi wao ni matapeli wanakupa gari ukimpa pesa anaenda kushitaki kwamba gari yake imeibiwa Kasheshe utajaza wewe mwenyewe
 
Asante kwa angalizo
 
hawa wenye maduka ya kuuza magari huwa wanakopesha pia, lakini mpaka mwajiri wako akubaliane na masharti yao.
hebu pitapita huko upate taarifa zaidi.
 
Back
Top Bottom