Hapa bila kuwa na Konyagi tatu ndogo kichwani mkojo hautoki!
Ye anataka wanaume tu ndo wamjibuMpe jibu tafadhali
Ina maana wewe tangu uzaliwe kwenye familia yako hujawahi kuwa na wanawake ambao mnashare vyoo au mabafu.
Kuna watu mnaulizaga vitu kama mna utindio wa ubongo...
Kisarure:
Huo ni msemo tu, kuwakilisha ujumbe ufike kwa mlengwa na autambue vilivyo huku akijumlisha mambo yote yanayofanana na wanawake, haina maana yoyote kwamba kuna choo maalumu cha kike. hayo ni maoni yangu binafsi na ni uelewa wangu pekee.
Ushauri wa bure, si upunguze urefu wa username yako?
Kwangu limejaa kupitiliza screen! Nikafikiri litatokea nyuma ya simu yangu!
Mimi mwenyewe hii ni puzzle kwangu na sijabahatika kuona hadi umri huu.
Huwa najiuliza hasa vyoo vya public vya wanawake vinafananaje, hasa kwa kuzingatia maumbile yao na mikao yao...huh!
Cha kutisha zaidi ni pale ninaposikia msemo "Umeingia choo cha kike" hii inashuhudia kuwa kina sintofahamu kubwa.
Ina maana wewe tangu uzaliwe kwenye familia yako hujawahi kuwa na wanawake ambao mnashare vyoo au mabafu.
Kuna watu mnaulizaga vitu kama mna utindio wa ubongo...
Ukifika basi usisimame manake utakwenda nyuma. Only for seater's and not for standersasante, ss hiv naenda mkuu
Mimi mwenyewe hii ni puzzle kwangu na sijabahatika kuona hadi umri huu.
Huwa najiuliza hasa vyoo vya public vya wanawake vinafananaje, hasa kwa kuzingatia maumbile yao na mikao yao...huh!
Cha kutisha zaidi ni pale ninaposikia msemo "Umeingia choo cha kike" hii inashuhudia kuwa kina sintofahamu kubwa.
na wakati mwinginewatu humaanisha kwamba umefanya kosa kubwa au umefanya jambo isivyo kawaida kwani katika hali ya kawaida mwanaume ukiingia kwenye choo cha kike unaweza kuchukuliwa ndivyo sivyo na wakati mwingine ukaonekana mbakaji kabisa.kisarure:
Huo ni msemo tu, kuwakilisha ujumbe ufike kwa mlengwa na autambue vilivyo huku akijumlisha mambo yote yanayofanana na wanawake, haina maana yoyote kwamba kuna choo maalumu cha kike. Hayo ni maoni yangu binafsi na ni uelewa wangu pekee.
Kina makorombwezo mengi ya kike.