hivi chid benz ni memba wa la familia au tip top connection?

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
wakuu,
kuuliza si ujinga.
labda kwa vile mimi sio shabiki sana wa tasnia hii ya bongo fleva na hip hop
au kwa vile huwa nam associate benz na jamaa kassim wa amore; ambaye nilikuwa najua ndio waanzilishi wa la familia,( kundi linalojifananisha na kundi maarufu la wajamaa wa mihadarati kwa jina la yesu huko mexico ); na wakati huo huo huyu kassim naona yupo tip top connection.



kwa maneno mengine, je tip top connection ndio la familia?
 
tip top makazi yake ni manzese na la familia ni ilala, kwa ninavyojua mimi chid benz ni wa la familia
 
Back
Top Bottom