Hivi chama cha Chaga Development Manifesto(CHADEMA) cha miaka 1980-1990 bado kipo?

Status
Not open for further replies.
Wakubwa sijui ni kwa nini nashambuliwa,Mimi nimeuliza.Sasa nilitarajia wenye majibu ya hilo watoe lakini nilichopata yangu macho.

Kuna madai mengine-Eti Chadema hawana Baraza la wazee,Kwamba mshauri wa chama ni Mtei pekee ambaye anadaiwa kuoza mtoto wake kwa Mbowe.Haya nayo majungu

twende sasa
 
Hata kama kilianza kama chama cha Wachaga, Wasukuma to hell, tunachoangalia sasa ni mwelekeo na malengo ya Chama.

CCM ilianza kama chama cha kutetea masilahi ya Uma wa Watanzania yaani wakulima na wafanyakazi, sasa tunaona kimegeuka kuwa chama cha kutetea Mafisadi. Kipi bora kuanza kama chama cha wachaga na kisha kubadilika kuwa mtetezi wa masilahi ya uma ama kuanza kama mtetezi wa uma na kumaliza kama tetezi la mafisadi.
 
kuna ukweli mnaokimbia hapo,yani nyie ikija ishu yoyote ya inayoichukiza cdm basi itakuwa ni crap! kwani hata hiyo habari ya sumaye kuongea na waandishi kwenye internet haiko,au ishu ya uvccm haijaandikwa na magazeti yote ya leo,so why do we discuss them? toeni majibu chadema ya kipindi hicho ndio hii ya sasa? othrwise u remain fool always

Issue sio kwamba inahusu CHADEMA au tunakimbia hoja No bali hakuna hoja inayotakiwa kujibiwa otherwise akamuulize aliye mtuma kilichomshushia ushindi kutoka 81%hadi 61 ya kuchakachua ni WACHAGA?hivi we ni wakike au wakiume?mkubwa au mtoto?Unaishi inji hii kweli wewe?au unanufaika na ufisadi unaotendea kiasi cha kukufanya usiyaone mateso wanayo yapata wa TANZANIA wenzako?
 
Wakubwa sijui ni kwa nini nashambuliwa,Mimi nimeuliza.Sasa nilitarajia wenye majibu ya hilo watoe lakini nilichopata yangu macho.

Kuna madai mengine-Eti Chadema hawana Baraza la wazee,Kwamba mshauri wa chama ni Mtei pekee ambaye anadaiwa kuoza mtoto wake kwa Mbowe.Haya nayo majungu

twende sasa

Kwa Tanzania Masuala ya Uongo yanaaminiwa sana kuliko Masuala ya Ukweli !
 
Hata kama kilianza kama chama cha Wachaga, Wasukuma to hell, tunachoangalia sasa ni mwelekeo na malengo ya Chama.

CCM ilianza kama chama cha kutetea masilahi ya Uma wa Watanzania yaani wakulima na wafanyakazi, sasa tunaona kimegeuka kuwa chama cha kutetea Mafisadi. Kipi bora kuanza kama chama cha wachaga na kisha kubadilika kuwa mtetezi wa masilahi ya uma ama kuanza kama mtetezi wa uma na kumaliza kama tetezi la mafisadi.

Haya ndiyo majibu niliyotaka.
Asante mkuu
 
c bora kukosa braza la wazee, kulko kuwa na brza la wazee km Makamba, Kingunge na huyo babu yako mmbea?
 
Leo nimeelezwa na mzee mmoja mkongwe kwamba kabla ya mfumo wa vyama vingi vya siasa kulikuwepo chama cha mlengo wa kusaidia wachaga kama vilivyo vingine vya kikabila,kijamii na kilitwa Chaga Develompent Manifesto(CHADEMA) na kilikuwa chini ya Edwin Mtei.

Malengo yake kwamba ilikuwa ni kutaka kuendeleza kabila hiyo kwa njia moja ama nyingine.
Inaelezwa kuwa baada ya mfumo wa vyama vingi Chadema hiyo ilibadilishwa malengo na madhumuni yako kutoka cha kusaidiana na kuwa Chama cha siasa kisha kuitwa Chama cha Demikrasia na Maendeleo(CHADEMA) Badala ya Chaga Deveopment Manifesto (CHADEMA).

Lakini inaelezwa na mkongwe huyo kwamba Uhasisi wa CHADEMA ya kusaidiana na CHADEMA ya kisiasa uko chini ya Mtei hadi leo.

Masawali 1:Wanaokukumbuka Je bado Chaga Deveopment Manifesto (CHADEMA) ipo hadi leo au ndiyo iliyobadilishwa na kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).

Narudi.

After all Chama ni nini kwako? Ni bendera, kiongozi ama tumbo? Kwangu mimi ni Sera na dhamira ya uongozi, zaidi ya hapo chama ni upumbavu.......

Sijakuelewa ulipokuwa unaleta hii mada ulitaka kutuaminisha kitu gani, Uchaga (Ukabila) ama sera za Chadema. Kama ni sera basi fuatilia pale kinondoni utajua manifesto yao.
 
Haya ndiyo majibu niliyotaka.
Asante mkuu

Najaribu kukupata mkuu, labda presentation ya hili suala imekuwa na mzunguko mkubwa mno, inawezekana, kwa vile kina Slaa huwa wanaingia hapa wanaweza kutupatia ufafanuzi kidogo. Lakini mimi msimamo wangu ni kwamba Chama ni Sera na Usimamizi wa hizo sera (yaani uongozi imara)
 
Mwanajamii mwenzetu ameuliza tu jamani, kama kuna muelewa atujuze zaidi, tupunguze waungwana. Ila hii kitu ni kali, eti Chaga Development Manifesto, kweli kua uyaone.:gossip:
 
Mkuu kilianzishwa chini ya sheria gani? Maana tunatilia shaka juu ya umakini wako kwamba ukishasikia simulizi halakahalaka unakimbilia kuiweka JF the home GT.
 
Yaa. Hiki chama nakumbuka kilikuwepo. nabaki najiuliza ndio hii CHADEMA ama vip?
This is nonsense. Kuwa na acronym zinazofanana haifanyi vitu kuwa sawa au vimoja. Kwa mfano: CPA, kuna Commonwealth Parliamentary Association (CPA) na Cerified Public Accountant (CPA). Kwa hiyo hata kama hiyo Chaga manifesto ilikuwepo baada ya kubadilishwa malengo na kusajiliwa kama chama cha siasa si Manifesto tena. Kwamba Mtei amehusika na vyote si hoja. CHADEMA si Mtei kama ambavyo CCM si Kingunge Ngombare Mwiru.
 
Kule kwetu tulikuwa na Tawi la CCM, wakati wa kampeni tukashusha bendera na kupachika ya Chadema, tukabidlisha pia rangi za jengo.

Sisemi kwamba Manifesto ya wachaga ilikuwepo, lakini sioni ajabu hata kama ilikuwepo kubadili malengo na kuwa chama cha kisiasa, badala ya kuwa na lengo la kichaga zaidi, ikawa na malengo ya kitaifa.

Mara zote moto huanzishwa na njiti moja ama cheche moja ya umeme kisha huenea kwa kasi mstuni ama katika nyumba. Vivyo hivyo kuanza kwa Chadema, ni wazo la mtu mmoja akaliuza kwa Bob Makani, wakaanzisha moto.

Sioni tatizo Chadema kuanza kama chama cha wasukuma mikokoteni ama Makuli kisha kuwa chama cha siasa.

Je sera zao zikoje? Je Viongozi wao wanao mwelekeo (Vision) ya kuikomboa nchi? au wanabaki kuhubiri tu amani amani amani wakati amani yenyewe ipo rehani na hakuna kinachofanyia kuikomboa zaidi ya kuendelea kuizamisha.
 
Mkubwa nimekukubali.Kumbe wewe umenielewa lengo la post yangu
Safi sana,wewe ni among of the GT tulionao humu JF siyo wengine wenye roho nyepesi,Wao kugusia CDM negatively wananza hata kusema yasiyosemeka.Naomba Waku-PM huwafundishe busara.
Thanks.
 
haya ndio yale majibu mepesi kwa maswali ya msingi? mtu ameuliza afu anaambiwa ni crap? and u call yourself a great thinker? you are a fool,big fool!

Kweli kabisa, humu kwenye Jf kuna watu weng kama hao ambao uwa wanaona kuwa wengine wakiuliza maswali au kuchangia wanawazarau, nin maana ya greater thinkers???
Inamaana wanakurupuka 2 kujibu kama jamaa alietoa "crap"

na ukiangalia ni memba wazaman ng amepost threads nying sa cjui uwa anapost utumbo au nini
 
Wakubwa sijui ni kwa nini nashambuliwa,Mimi nimeuliza.Sasa nilitarajia wenye majibu ya hilo watoe lakini nilichopata yangu macho.

Kuna madai mengine-Eti Chadema hawana Baraza la wazee,Kwamba mshauri wa chama ni Mtei pekee ambaye anadaiwa kuoza mtoto wake kwa Mbowe.Haya nayo majungu

twende sasa
Is that a problem? Huenda Baraza la Wazee halimo kwenye Katiba ya CHADEMA. Ulitaka mbowe amuoe dada yako? Vigogo wa CCM wangapi wameoleana?
 
Another exposure of civilisation and political tolerance and democracy endurance - CHADEMA - iwe Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo au Chagga Development Manifesto fans - too low.

Sijui viongozi wa chadema wanaichuliaje hii trend ya wanashabiki, wapenzi au wanachama wake. Ndio kusema kwa kukaa kimya wameridhika na hii tabia au ndio wanayoihubiri?
 
I have tried personally to advice leaders to act in this! kwenye ukabila I believe wamejitahidi sana kujionyesha sivyo kama walivyochukuliwa, kwa sasa wananyemelewa na kombora la udini.
 
Nashukuru kwa habari yako nachanganua kama ifuatavyo:

Kwa hakika sijawahi sikia asili ya chama cha chadema zaidi ya kwamba ni chama cha siasa kilichoanzanishwa kwa mujibu wa sheria

kisheria kama kilikua ni chama cha wachaga baadae kikafa na kutumia jina lile lile kama chama cha siasa kwa mujibu wa katiba amabyo hairuhusu cham chenye kulenga ukabila na mengineyo kusajiliwa, ni dhahiri kwamba hakuna hoja si msingi ya kuangalia nyuma bali mbele. je leo chadema ni cham a cha wachaga? jibu wote tunalo kwa maandamano yaliyofanyika kanza ya ziwa.

jambo lingine la kujiuliza tunajua kabla ya CCM kulikua na vyama gani? na je wwanachama wa hivyo vyama waliridhia kuundwa kwa CCM tukirudi nyuma ni kwamba uhalali hata wa CCM ni utata, hivyo basi tuangalie mbele.

Mwisho nikisema mathalani CCM ni chama cha Musoma nitakua sawa? think before you lip
 
Kila association ina caucus yake....wengi pengine mlikuwa wadogo au hamkuwa mjini wakati Mzee Mtei alipoanzisha chama hiki mwaka 1992 na akina Makani(Msukuma),Kimesera(Mmasai),Ngwilulupi(Mnyakyusa),Kabourou (Muha)Franco Kabigi na baadaye dada yake Maria(Wanyakyusa) na wengine wengi...Mchagga alikuwa Mtei tu pale Kisutu Street...na huyu mzee alikuwa anazunguka na gari yake huku na huko kutafuta wanachama na hakuna aliyemsikiliza...naturally familia yake na za hao wenzake zilijiunga na kumuunga mkono...sasa leo watu wanapodai ni chama cha Mtei na familia yake, udini,ukabila,ukanda kwa kweli siwaelewi kabisa...mnasahau kabisa kuwa awali watu hawakukichukulia seriously hiki chama....Mtei akaona imetosha akang'atuka akamwachia Makani....nae akaona imetosha akamwachia Mbowe...naye wakati wake ukifika atamwachia mwingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom