Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
OOh! Kumbe ndio hivyo!
Mtani umepotea sana, umeng'ang'aniwa visiwani nn?
OOh! Kumbe ndio hivyo!
jana nilipokuwa nikisoma gazeti la mwananchi na kukuta makala inayozungumzia mikakati ya chama cha CUF katika uchaguzi huu unaokuja.
katika jambo lililonishangaza ni maneno ya Prof Lipumba kuelezea ni kwa nini upinzani usismamishe mgombea mmoja au yeye kumuunga mkono Dr slaa.
alieleza kwa ufasaha kabisa kuwa ilionekana kuwa vyama vyote vya upinzani vilikusudia kutosimamisha wagombea, kwa maana Mzee MRema alionesha mapema kuwa chama chake kinamuunga mkono mheshimiwa Kikwete na yeye binafsi kutangaza kuwa atawania Ubunge jimbo la vunjo. wakati huo huo mheshimiwa Wa WAPUKI(Mbowe) akitangaza kugombea ubunge kwao huko. na Cheyo hali kadhalika.
sasa wao wakasema haiwezekani JK apite hivi hivi bila ya kugombea na hivyo akatangaza nia mapema tu. ila la kushangaza baada ya kutangaza na kujipanga ndipo akina DR Slaa na wengine wakajitokeza sasa anasema imechelewa sana kujipanga kwa hili.
ila kuhusu ubunge na udiwani wanasema wanaendelea na mazungumzo.
kwa haraka haraka inaonekana CHADEMA ni wabinafsi na wanajiona kuwa wao peke yao wanakubalika na hawahitaji ushirikiano na vyama vyengine.
hawa ndio CHADEMA na rangi zao
Mtani, nipo ila shughuli nyingi. Zaidi naendelea kujua maana ya kutumwa, kulipwa, walewale, na kebehi nyingine mara mjumbe anapokuwa na mtazamo tofauti hapa kitaa.Mtani umepotea sana, umeng'ang'aniwa visiwani nn?
Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa Chadema walitamka watamuunga mkono mgombea wa CUF huko zenji.
Kwa ufahamu wangu mdogo, ni kwamba ili uweze kuwa Rais wa Tanzania ni lazima system ya usalama wa taifa iwe imekukubali kwamba una sifa za kuwa Rais. Kama system haijakubaliana na wewe ndo yatabaki kuwa mambo kama ya akina Bilali, Seif and the likes. Kama intelligent system hiyohiyo ilimwamini Dr Slaa kuliko wabunge wengine wote wa upinzani na kuamua kumpa nyaraka mhimu za serikali, ni wazi kwamba imeridhishwa na uwezo wake wa kiuongozi na kutetea nchi. Na huo ni ushahidi mwingine kwamba itafanya iwezalo kumuweka Dr. Slaa madarakani. Dalili zinaonekana na ushahidi ni mwingi kwamba Dr Slaa ana support ya intelligence, hata JK analijua hilo. Kama wewe peke yako ndo una apa kwamba hatakuwa Rais basi utakula jeuri yako hapo atakapokuwa anaapishwa kuwa Rais wa nchi.Kitu kinachonishangaza zaidi ni hii popularity aliyopata Slaa. Ndani ya muda mfupi tu. Hivi najiuliza hivi hizi nyaraka halisi anazipata wapi? Jibu la haraka ni kuwa kuna watu kwenye system wanazinyofoa na kumpa. They are doing well kuumbua ujinga serikalini. Lakini kwa nini apewe Slaa tu na si mtu mwengine yeyote? Mfano labda zito, Hamad etc. (kama ni wabunge wa upinzani bwana wako wengi tu?) kwa nini zote amepewa Slaa, na ni kwa malengo yapi? Bila shaka kuna usiri mkubwa sana hapa. Mimi siishabikii CCM, lakini naona slaa ni mtu wa kuogopwa kama ukoma. Lazima kuna maslahi binafsi ya kikundi fulani. Ndo maana hata kuna baadhi ya jamii hapa nchini zimeshatoa dukuduku lao. I'm sure he will never win. Period. Labda hapa JF tu.
Simchukii Slaa kihivyo, lakini kinachogomba hapa ni mazingira yaliyomzunguka, siyo yale ya uhalisia, na ukiona hata baadhi ya supporter wake mitaani njisi yanavyojichanganya unaelewa kabisa kwamba hapa kuna kitu si hivi tu. big YES! there is something.
So, We do not want to risk.
Kwa wale ambao hamjui undani wa ugombea wa huyu Mheshimiwa nashauri msishabikie tu kitu msichokijua. Fanyeni uchunguzi kwanza. Parhaps this gonna be an act of political tragedy which may threaten our national unity.
Message sent
Watu wanataka vyama viungane ili iweje? Je sera zinafanana? Kenya waliongana lakini je vilidumu? Hatujifunzi kwa wenzetu? Kama lengu ni kumondoa tu madarakani JK basi haina maana ya vyama hivyo kuungana, na ilishawhi semaga humu JF ndugu Mzee Mwanakijiji.
Wapinzani wa CCM hapa Tanzania wanaonekana wamechoka sana; suala kama hili pia lilitokea mwaka 1995. Mie kwa baadhi ya vyama kujiona kuwa wao ni "bab-kubwa" naona sawa ili CCM TUSHINDE KWA KISHINDO HAPO OCTOBA 31 2010. Bila kusahau methali isemayo: VITA VYA PANZI ....