Hivi CHADEMA Tv haiwezekani? nimekereka na Star tv walivyombania Mh. Wenje leo

DT125

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
380
573
Niliwahi kuona wazo la Mwanajamii mmoja akiwashauri CDM kuwa na kituo chake cha TV, hii ingesaidia kuondokana na kutegemea vituo vinavyowabania baadhi ya wanasiasa. Kwa mfano Mh. Wenje kaamua kufanyakazi actually inayotakiwa kufanywa na serikali kwa kusaidia madawati 100 cha ajabu taarifa inatoka picha ya Wenje inaonekana kwa sekunde na si ajabu aliyerusha akatakiwa kutoa maelezo kwa nini alirusha habari hiyo. Kuondokana na mrusha taarifa wasije wakamhandolize au mtidolize ni bora tuwe na CHADEMA TV.
 
Star tv inamilikiwa na mjumbe wa cc ya mgamba hivo usiumize kichwa sana,its normal
 
me naona ni kheri kila chama kiwe na chombo chake cha habari ili mwana wa hii jamii ajue chombo kipi bora kwake na si bora ......
 
Well said Mkuu, idea on progress tuvute subira kamanda! Inshallah Mungu atasaidia
 
Mimi huwa naumia sana! Mbna hao magamba huwa wanapewa muda mref aftarol hawana jipya kwe2! Wez tu hao chup za...
 
Kaka operation Cost ya TV sio ndogo, Tv inaweza kujiendesha kama itakuwa na matangazo ya biashara ya kutosha, Nchi hii mfanya biashara gani atapeleka tangazo kwenye Tv ya chama cha siasa cha upinzani?

Ruzuku wanayoipata haitoshi kuendesha Tv na hapo hapo kufanya operation zingine
 
Hata kabla ya mwaka 1961 ilikuwa hivi hivi then tz ikapata uhuru wa bendera so this is a battle and we gonna win! Tutasambaza taarifa wenxewe
 
Kaka operation Cost ya TV sio ndogo, Tv inaweza kujiendesha kama itakuwa na matangazo ya biashara ya kutosha, Nchi hii mfanya biashara gani atapeleka tangazo kwenye Tv ya chama cha siasa cha upinzani?

Ruzuku wanayoipata haitoshi kuendesha Tv na hapo hapo kufanya operation zingine
wakiandamana tu watazipata hela za kuendeshea tv. hivi ukitoa madawati 100 lazima uonekane kwenye tv
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha hivyo ninaamini siku moja tutafanikiwa kuwa na Luniga yetu itakayotufikishia habari zetu kwa mashiko
 
Tupo katika ukoloni mamboleo, Muda wa kuvumilia umebakia ni mchache sana na yote hayo yatapita na kwishwa.
Siasa kujihusisha na mtandao wa Tv ni vitu tofauti, tuendelee kutumia Youtube na kuongezea Cnn. iReport.
Mambo yote ya ufedhuli wa Serikali ya Ccm yatasambaa Tanzania na Dunia nzima kwa kutumia njia hizo.
Na ingekuwa jambo jema kwa CDM kufungua internet Club, ambayo itaitwa "Chadema internet Club" kwa kila
makao makuu ya mkoa na Wilaya, na hata vijijini hapo wanachama watakuwa katika mtandao kwa kukijenga chama
kwa kuangalia kila kinachotendeka Tanzania na dunia nzima, kimaendeleo kichama na kinchi. ili kuongeza upinzani
zaidi kwa Serikali ya Ccm, katika kuelekea kwenye Utawala wa nchi mwaka 2015.
Tunataka tujue maana ya kauli moja baada ya moja inayotoka kwa Ccm na Serikali yake, pamoja na mapandikizi
wake. Mwelekeo wa ushindi 2015 upo tusonge mbele.
 
Back
Top Bottom