Hivi CHADEMA nao ni chama cha kifamilia kama CCM?

1.Mbowe na Mnyika ni mtu na mpwa wake

..... nimeanzisha tu..... endeleeni kuleta na wengine ...... wako wengi na watu mnawafahamu.
 
1.Mbowe na Mnyika ni mtu na mpwa wake

..... nimeanzisha tu..... endeleeni kuleta na wengine ...... wako wengi na watu mnawafahamu.

Makongoro Nyerere,mtoto Wa kawawa, mtoto wa Sokoine, Karume, Riziwani,na wengineo wengi
 
Makongoro Nyerere,mtoto Wa kawawa, mtoto wa Sokoine, Karume, Riziwani,na wengineo wengi

Mkuu hapa tattizo ni kuwa kuna watu wako specific kwa ajili ya ku divert mawazo na malengo ya wapenda mabadiliko. Haingii akilini kuona jinsi hilo chama zee lilivyo jaa ndugu,watoto,wake mpaka uwaziri mtu na mke wamo humo kwao sio tatizo. Watanzania tuamke tuna mambo ya msingi ya kujadili kututoa hapa tulipo kwama maana hata hao wanaobwabwaja na kutoa kejeli wanapata shida kama sisi maana hakuna sehemu ambapo mpenda mabadiliko anapata bidhaa kwa bei tofauti na hao wanaotetea mfumo uliopo wote tunapata machungu. Sasa cha muhimu ni kujadili jinsi kumuondoa huyu anayetutesa tunajadili mambo ambayo hayana tija katika kuleta mabadiliko!
 
kila mtu anajua CCM ni chama cha kifamilia...kuanzia Nyerere mpaka huko visiwani

swali langu je, CHADEMA nao upuuzi huu wanao au wao wako beyond politics za kifamilia kama CCM?

kama hawana itatia moyo kujua kama kweli hiki ni chama mbadala

wengine tushachoka na CCM na mambo yao ya kukifanya chama kifamilia familia tuuu

I hope jedwari la CHADEMA liko empty na diverse kuliko la CCM

Nawasilisha
umechoka ccm A ukaenda ccm B,mule mule tu
 
kila mtu anajua CCM ni chama cha kifamilia...kuanzia Nyerere mpaka huko visiwani

swali langu je, CHADEMA nao upuuzi huu wanao au wao wako beyond politics za kifamilia kama CCM?

kama hawana itatia moyo kujua kama kweli hiki ni chama mbadala

wengine tushachoka na CCM na mambo yao ya kukifanya chama kifamilia familia tuuu

I hope jedwari la CHADEMA liko empty na diverse kuliko la CCM

Nawasilisha

Pigia tu mstari mkuu ndo jibu sahihi ilo
 
Mkuu lazima ukweli tuseme kuimarisha chama chetu kweli haka kamtindo kameanza kushika kasi ndani ya chama.We angalia hata huyu aliyemrithi rejia ana mahusiano na mkuu mmoja amini usiamini hali si nzuri kihivyo
 
Back
Top Bottom