Hivi chadema kuongeza mbunge itaongeza ruzuku kama raisi nay anaweza teuwa?

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,469
581
Kwa kawaida ruzuku hugawanywa kulingana na idadi ya wabunge kwenye chama husika,hii inanipa shida maana kushinda kwa nassari nilidhani ccm katika hesabu za ruzuku itapungua maana itakuwa imepoteza mmoja na kuongezeka chadema.Lakini cha kushangaza kumbe raisi ana ruhusiwa kuteuwa wabunge kumi,na jusi zateuwa wanne ,watatu ccm mmoja nccr inamaana wakigawa ruzuku kwa idadi ya wabunge katika chama bado ccm itakuwa mbali huu utaratibu ubadilike
 
inaonesha ccm huwa wanatafuta jimbo sio ili waongeze ruzuku bali waibe,haiwezekani kauchaguzi kadogo watumie watu wakubwa na hela nyingi kumbe hauwaathiri kiruzuku
 
Walitaka wampate mbunge wa ccm ,ili wazitafune pesa za jimboni vizuri,hamna kingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom