Hivi CCM wanaweza kutokata rufaa kesi ya Igunga?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Najaribu kujiuliza hili swali kama kweli ccm wanaweza wakakubali kwenda kwenye uchaguzi mpya pale igunga na kuacha kukata rufaa.sijui wenzangu mnaona hili linawezekana?
 
Kwenye twitter leo Nape kasema jukumu la kukata rufaa ni la Kafumu mwenyewe maana pale hakikushitakiwa chama bali mgombea. Na kwa kauli ya Kafumu, its seems swala la rufaa halipo.
 
Hawezi kukataa maana lile swala lilikua live,rage kapanda na silaha(smg),magufuli kapiga beat kama waziri wasichague cdm,kugawa mahindi kwenye kampeni,lugha za matusi!! Kafumu hawezi kata rufaa maana hatazidi poteza hela wakati anadaiwa bado hajamaliza mikopo mil100 mkopo wa gari mil200 mkopo bank!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom