Hivi ccm wanatambua kuwa uhalifu unaoendelea nchini wenyewe ndiyo tunawalaumu?

Naytsory

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
2,192
791
Nasema hivi kwa sababu uhalifu unaofanyika, unafanyika chini ya Serikali wanayoiongoza ambayo imeshindwa kuwachukulia hatua wahalifu hasa pale wanapokuwa wanachama wa ccm. Wananchi wa leo siyo wa miaka ile, tunazo kumbukumbu za matukio mengi ya aina hiyo. Nawasilisha.
 
Samahani kama nitakuwa nje ya mada, nimekumbuka kile kituko cha mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM alivyomchapa makofi afisa wa polisi huko shinyanga.Kwa hiyo mkuu mimi sishangai kabisa hawa CCM kuwa chanzo cha vurugu, kwa kifupi wamejisahau sana.Ila haya yana mwisho
 
Back
Top Bottom