Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
[/Mimi siyo Mkatoliki hivyo Pengo siyo kadinari wangu, lakini nasema kama CCM watafanya kampeni mbaya dhidi yake huo ndo utakuwa mwisho wao. Pengo hajafanya jambo lisilo la kizalendo hivyo anasupport ya wananchi most of them are CCM. Hao CCM tumeshuhudia wakifanya madudu toka tupate uhuru. Wananchi wanaona bora kuitosa CCM na siyo maneno ya busara ya Mhe. Pengo.
Tatizo lililopo hapa wapinzani wa ukristo wamejificha nyuma ya CCM na kuendeleza mipango yao ya kupinga ukristo na Kristo. Hawa ndo akina barubaru. Ukitaka kuona hili chunguza post zote za huyu barubaru.
Halafu hawa watu waliojificha nyuma ya CCM wengine si CCM, hivyo kuporomoka kwa CCM wao hakuwahusu. Tena wanaweza kupiga jiwe moja ndege wawili yaani kuiangusha CCM na kupinga Ukristo.
__________________
QUOTE].
Mimi ni mchambuzi tu wa mada mbali mbali hapa jamvini sina mipaka katika hilo. natumia haki ya kikatiba ya kutoa maoni yangu.
Wewe na wengine wote mtaniona ni Mpinga katoliki KWA SABABU NI MMOJA AMBAO NAPINGA KWA NGUVU ZOOOOTE WARAKA WA KANISA KATOLIKI NA NASEMA KWA KINYWA KIPANA KUWA NI HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LA TANZANIA.
najua kila aliepinga waraka huo basi lazima akashifiwe na kutukanwa kama alivyotukanwa Mz Kingunge, na Mchungaji Kakobe. nami nipo tayari kwa hilo.
nakutakia Sikukuu njema