Hivi Cardinal Pengo ni Mtanzania?

Muungwana ni vitendo, Sema samahani au sorry basi yaishe. Mimi naona aibu kwa great thinkers kipost kitu kama hiki hapa. Wahusika tusaidieni kuzuia viyu kama hivi.
 
Mwandishi by default ni Mujahidina

Pengo anawaumiza kichwa na mutakiona cha moto mwaka huu.

Jk mwenyewe anahaha,hahahahahah
 
Hawa wenzetu wiki hii naona swaumu imekuwa ngumu, nakumbuka jana kulikuwa na hoja nyingine kama hii eti JK v's Pengo. inavyooneka Pengo unawaumiza vichwa sana. Ninachoshindwa kuwaelewa hawa jamaa ni je? wanamtetea nani? Kikwete/CCM au Taifa? Kama ni mtu unayetetea Taifa utakubaliana na Pengo. Pole Hafif, malizia swaumu vizuri mkuu.
Hivi yaonekanaa Pengo anakerwaa sanaa na uongozii tulionao kwa sasa. na kutokana na nafasi yake katika jamii yuko sawa kuonyesha hisiaa zakee kulingana na mambo ya kiutawalaa yanavyokwendaaa..

Jk anataraji kukutana na viongozii wa dini pale makamu wa raisi na waziri mkuu watakaporejeaa toka nje ya nchi na tuwee wavumilivuu kushuhudiaa kikao hicho na yale yotee yatokanayoooo...
 
.......... Fundi, usipotee sana bwana, shule yako iliyo poignantly succinct inahitajika.........


kweli kabisa Mkuu.......Fundi usipotee namna hiyo Mkuu


Jamani eeh msameheni bure ndugu yetu Hafif
 
kwa wakatoliki na wasio wakatoliki ni kweli kuwa polkarp kardinal pengo ana urai wa nchi mbili yaani vatican state na tanzania, kuna mikataba mingi ya kuhusu vatican state au holy see, leo nina haraka nitaweka bandiko hapa kumjibu mwenye hoja
 
HM Hafif unatuacha hoi kwa sababu bandiko lako halina mashiko kwani Pengo amekosa nini?Soma falsafa ili uwe na confidence sio kuuliza maswali ya namna hiyo.Kumpigia kura Papa haimvui uria wake wa Tanzania,kama unakosa mada heri ufanye mambo mengine ya maana.
 
tatizo sio kumuogopa bali muadhamaaa ni mnafiki hakemei akiwa serikali inaongozwa na mkristo..hili ndio tatizo lake..yaani hata mauaji kule pemba aliyabariki...huyu sio mtu sawa kushika nafasi hii...NAMKUMBUKA SANA KADINALI MAREHEMU RUGAMBWA...yeye na Pengo ni kichuguu na mlima

Hahaaaaa
Kundi maslahi mna hali mbaya sana mwaka huu

Kumbe mna ugando namna hiyo vichwani mwenu? Sasa naanza kuelewa kwanini Mengi alipingwa na waislamu kina Lipumba,Sofia Simba,JK,...alipotoa yale majina yake.

Give me a break
 
Hivi yaonekanaa Pengo anakerwaa sanaa na uongozii tulionao kwa sasa. na kutokana na nafasi yake katika jamii yuko sawa kuonyesha hisiaa zakee kulingana na mambo ya kiutawalaa yanavyokwendaaa..

Jk anataraji kukutana na viongozii wa dini pale makamu wa raisi na waziri mkuu watakaporejeaa toka nje ya nchi na tuwee wavumilivuu kushuhudiaa kikao hicho na yale yotee yatokanayoooo...

Aibu nyingine kwa JK; yaani hawezi kujisimamia akakutana na viongozi wa dini mpaka makamu na waziri mkuu wawepo! Mbona wakati wanamlima Sitta kwenye NEC hawakuwakaribisha makamu na waziri mkuu!
 
tatizo sio kumuogopa bali muadhamaaa ni mnafiki hakemei akiwa serikali inaongozwa na mkristo..hili ndio tatizo lake..yaani hata mauaji kule pemba aliyabariki...huyu sio mtu sawa kushika nafasi hii...NAMKUMBUKA SANA KADINALI MAREHEMU RUGAMBWA...yeye na Pengo ni kichuguu na mlima
Tatizo ndugu zetu nyie watoto wa mama mdogo mnalalama mno sijui lini mtaacha kulalamika. Rais muislam, makamu, muislam hata jaji mkuu ni muislam lakini bado mnalalamika tu. mpewe nini?
 
HM Hafif unatuacha hoi kwa sababu bandiko lako halina mashiko kwani Pengo amekosa nini?Soma falsafa ili uwe na confidence sio kuuliza maswali ya namna hiyo.Kumpigia kura Papa haimvui uria wake wa Tanzania,kama unakosa mada heri ufanye mambo mengine ya maana

Moto ya Mbongo. Mimi sina matatizo yoyote na Pengo. Ila nimeuliza swali na nimeweka point zangu za kushuku kuhusu uraia wake kutokana na mafunzo niliyoyapata hapa Ukumbini kuhusu VATICAN.
sasa naomba na wewe ulete hoja zako kueleza kuwa swala langu halina mashiko.
 
kwa wakatoliki na wasio wakatoliki ni kweli kuwa polkarp kardinal pengo ana urai wa nchi mbili yaani vatican state na tanzania, kuna mikataba mingi ya kuhusu vatican state au holy see, leo nina haraka nitaweka bandiko hapa kumjibu mwenye hoja

Mwakimbi ndugu yangu nasubiri kwa hamu sana jibu lako.

Wale wote walionikashifu na kunitukana naomba wote tumsubiri Mwakimbi atupe darsa nanyi mjifunze kwani inaonekana hamlijui hilo ndio maana mnabaki kubwabwaja.
 
HM Hafif... Hiyo mantiki yako hapo juu IMEFULIAAAAAAAAA!!!!

Nchi nyingi za Ulaya mtu ambaye bado si raia anaruhusiwa kupiga kura baada ya kuishi miaka 2-3 nchi hizo na kupewa haki za kupiga kura.

Kwa mantiki yako, hao raia wote wa kigeni wanaoruhusiwa kupiga kura huko Ughaibuni ni VIONGOZI KWENYE HIZO NCHI, na siyo hiyo tu bali pia ni RAIA wa nchi hizo. Kaaz kwer kwer!

Djabu Da dude.

Sijaona jibu la kijinga kama hili. sasa labda nikuulize swali ja watu hao wanaoishi miaka 2-3 wenye haki ya kupiga kura kumchagua rais wanakuwa na uraia gani wakati huo?
Je wanaweza kuchaguliwa kuwa marais wa nchi hiyo ya kigeni kwao?
 
Naona watu takriban wooote wanakuandama Bro Hafif lakini mimi nimesoma kwa makini sana nimeona kuna logic na suala lako ni zuri ambalo ingebidi wanajamii mumuelimishe kuliko kumtukana.

Nilivyokuelewa mimi ni kuwa. Kila mwananchi ana haki ya kuchaguliwa au hata kuchagua viongozi wake ili muradi akidhi masharti ya nchi husika. Nchi nyingi sharti kuu ni Uraia na umri.

sasa suala lake Pengo ana kidhi matakwa ya kuwa kiongozi wa juu wa Vatiican na anaweza kuwa kiongozi wa juu wa Tanzania.

Sasa tujaalie kadinari Pengo kachaguliwa kuwa Pope wa vatican, sasa itakuwaje?

nafikiri hili ndio kusudio lake. Hafif kama nimekosea kukuelewa naomba unikosoe.

Binafsi nitamweleza suala hili Nasriyah alifafanue kisheria zaidi na kukujibu hapa hapa ukumbini..
.

Nimefarijika Dr Hamza kwa majibu yako na kuweza kunielewa. hakika wewe umenifahamu haswa nini nilitaka kuuliza.

Nasubiri sana kutoka kwa uht nasriyah kwani naamini ataweka mambo yote bayana kisheria zaidi.

nawatakia Swaumu njema na lini mtakuja Tz
 
Re: Hivi Cardinal Pengo ni Mtanzania?
Ladies and Gentlemen of JF feel pity on Hafif because his IQ is not only zero but negative.

Wasp pole sana.

kama huna jibu ni bora kukaa kimya kuliko kufuka moshi.
 
..hivi kwanini Hafif na kundi lake wako so obsessed na Kanisa Katoliki na Kardinali Pengo?
 
Back
Top Bottom