Hivi Cardinal Pengo ni Mtanzania?

HM Hafif

JF-Expert Member
Aug 16, 2009
1,359
20
Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.

Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.

Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.

sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.

Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.

Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.

naomba wanasheria mlifafanue hilo.

naleta hoja
 
sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni RAIA wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.

Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.

Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.

naomba wanasheria mlifafanue hilo.

naleta hoja
 
Acha Uzushi kama hivyo kama huwezi kuleta mada changamoto basi nakuomba soma zile zote walizoandika wale na ndugu zangu Mwanakijiji na wengine wengi, Acha Uzushi wewe
 
Swaumu hufanya ubongo wakati mwingiene kushindwa kufanya kazi....upuuzi huu...!
 
Masa umeniwahi kweli hapo juu .... mabandiko mengine hapa JF yanaanzisha maswali zaidi kuhusu mbandikaji kuliko mambandiko yenyewe.
 
Hawa wenzetu wiki hii naona swaumu imekuwa ngumu, nakumbuka jana kulikuwa na hoja nyingine kama hii eti JK v's Pengo. inavyooneka Pengo unawaumiza vichwa sana. Ninachoshindwa kuwaelewa hawa jamaa ni je? wanamtetea nani? Kikwete/CCM au Taifa? Kama ni mtu unayetetea Taifa utakubaliana na Pengo. Pole Hafif, malizia swaumu vizuri mkuu.
 
Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.

Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.

Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.

sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.

Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.

Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.

naomba wanasheria mlifafanue hilo.

naleta hoja

Simply incoherent, unsubstantiated and self defeating in a way that would make Plaxico a war hero.

Yaani unajenga hoja halafu unaibomoa mwenyewe, nyingine unaijenga bila msingi.

The structure of the state of Vatican, being based on a Roman Catholic city- state and a wordwise constituent, is unique and your comparison is the proverbial comparison of apples to oranges.You conceded that Cardinal Pengo holds a Tanzanian passport and that should close the matter.

To make matters worse, you want to disqualify cardinal Pengo based on his ecclesiastic eligibility and an unrealized future, why don't you then go ahead and declare all Catholics -or at least the unmarried ones- to be non-Tanzanians because they are eligible to enter the clergy and eventually be pope?

What kind of lethargic logic is this? Is there something else behind this unfortunate if not unassertive argument?

Is this the best you can do?
 
Last edited:
Mi nadhani hoja ya utanzania wa Kardinali hauna msingi wowote. Kwani Asha-Rose Migiro si Mtanzania? Mbona ana pasipoti ya Umoja wa Mataifa? Mbona Salim A. Salim alipkuwa rais wa Umoja wa Mataifa alikuwa na pasipoti ya UN, je utanzania wake ulikufa? Hapana! Sasa Cardinal Pengo kuwa Kardinali ndio imekuwa nongwa? Pengo hana uraia wa nchi mbili. Kwa hiyo hoja yako haina msingi.
 
Huyu Hafif nadhani kama masanilo ulivyosema ni swaumu inamsumbua na kama hawezi kufunga si aache tu.
 
Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.

Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia bila wasi wasi katikakumchagua kiongozi wa dhehebu la katoliki Duniani ambaye pia anakuwa kiongozi wa vatican.

Vile vile yeye anaweza kuchaguliwa kuwa kiongozi wa wakatoliki duniani na Kiongozi wa nchi ya vatican, Kwani Pope anachaguliwa miongoni mwa makadinari. Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria za kanisa katoliki anaweza kuwa kiongozi wa kidunia wa dhehebu hilo.

sasa kama kuna mtu anayeweza kuchagua kiongozi wa nchi nyingine na mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi bila shaka yoyote huyo atakuwa ni kiongozi wa nchi husika. Sasa naweza kusema Pengo ni M vatican.

Tunajuwa na naamini wazi yeye anahodhi pasipoti ya Tanzania na hivyo ni mtanzania.

Vile vile tunajua wazi wa tanzania hawaruhusu uraia wa nchi mbili? sasa inakuwaje.

naomba wanasheria mlifafanue hilo.

naleta hoja

Umeng'ang'ania kweli kumuongelea Pengo na hii inaonyesha anavyo wapiga bakora kweli kweli. Mbona humu ongelei shehe ponda ambaye ni raia wa burundi???
 
Mimi nashangaa sana kwa takribani kwa wiki moja kuna mabandiko kibao ya Pengo amefanya hii inaonyesha kuwa jinsi gani alivyo kuwa Muhimu sana kwa Taifa. Zote hizi ni za nini
 
mamluki wapo kibao siku hizi, wewe jaribu kuchunguza wote wanao mwandama Pengo hawana hata posts 200.
 
Kweli mapandikizi ni mengi humu jamvini.mtu akiwa na msimamo tofauti na serikali au ccm basi inakuwa taabu.hata generali ulimwengu pamoja na kushika nyadhifa mbalimba na hata kuiwakilisha nchi, alipotofautiana nao walisema siyo mtz. Wazushi kama wewe tumewazoea,umaarufu hautafutwi kwa hoja za kijinga kama hii ya kwako.
 
du tanzania hatuwezi kuendelea kama Mwalimu Nyerere RIP alivyobainisha kuwa wenzetu wanakimbia sie tunatembea na sasa inaonyesha tunarudi nyuma.
ni vipi tutaendelea kama hatuwezi hata kutengeneza logic ndogo na watu wakakuelewa, sasa mtu kama huyu ndiyo wazungu wanamtumia kwenye mikataba mibovu katika kuliibia taifa maliasili zetu. ni aibu atapambana nao vipi?

nilijua anahofu kuwa labda Pengo kwa sababu anatokea mipakani kule Rukwa labda ni Mzambia au Mmalawi, ingekuwa a good joke
 
Waislam mna rais muislam mpeni ushauti huko msikitini awatume watu wa uhamiaji wakamhoji Pengo uraia kama JK anao ubavu .Maana naona sasa badala ya hoja mnalia na Pengo tu . Kichwa kile baba mwekeni hapo nani sijui wa Bwakata kama ataambulia lolote . Kama mnabisha wekeni muone .
 
labda watamuweka shehe ponda...hahahaha
 
labda watamuweka shehe ponda...hahahaha
kweli kama uunadhani Shehe Ponda ni timamu umekosea, huyu ni msaliti wa watu wake, wajamii yake na hakika huyu jamaa mara zote amekua akipiginia mkate wake, kama unabisha mpe elfu kumi kisha mpe masharti yoyote atafanya, hana maana huyu.
 
Back
Top Bottom