ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,555
Natumai naye si mtumiaji wa kihivyo, la sivyo asingeilalamikia bundle. Walisema ikija fibre optic gharama zitakuwa chini, wala hatuoni kupungua kokote. Au hiyo fibre optic cable bado haijaunganiswa?
huu mkongo wa taifa sijui uko wapi sasa hivi nasikia udsm upo wanautumia ila chuo kikifunguliwa tu inazidiwa inakuwa slow sana..
mambo ya internet mi nadhani bado sana kwa bongo labda baadaebaadae huko itakuwa poa..