Hivi Bikira ina faida gani?

Status
Not open for further replies.
Utamkagua vipi mwanaume?

Kama tuliweza kubuni kwamba ni lazima shuka jeupe litandikwe ili kungalia damu naamini hakuna linaloshindikana chini ya jua kama tukiamua kujishughulisha ili kutafuata njia ya kujua mwanaume ambaye hajamjua bado mwanamke hilo litawezekana ndugu yangu.
 
Bikira Bikira ..ingekuwa mkiikuta hamuwatendi wenza wenu ...
kuna mama mmoja analia huku oooh jamani mme wangu ndo kanitoa usichana wangu leo anathubutu kusema sifai na kuniletea small house eeh yethu na maria
mmh!
 
Ndo maana mi namuunga huyo Mwanafunzi aliyeuza bikira yake..

Na kwanini iwe kwa wanawake peke yao?
 
Bikira Bikira ..ingekuwa mkiikuta hamuwatendi wenza wenu ...
kuna mama mmoja analia huku oooh jamani mme wangu ndo kanitoa usichana wangu leo anathubutu kusema sifai na kuniletea small house eeh yethu na maria
mmh!

Ubikira kwa mwanamke huweka kumbukumbu imara kwa mume wake daima. Na hivyo, hata akimwegwa nje, provided other things are okay, hawezi kumfuta mumewe akilini mwake. Ndio maana inakuwa vigumu kuamini kuwa mwanamke anaweza kustop completely an affair na fisrt lover, provided hawakugombana kiasi cha kutosuluhishwa, na hata hivyo ni rahisi sana kumsamehe akijitokeza kuomba radhi kwa kile alichokosea. Naamini kuwa mwanamke anaweza kuachana na wanaume wote daima, isipokuwa wawili tu; yaani aliyemuondolea ubikira na yule aliyepata kuzaa naye. Anaweza kuachana nao, lakini lazima atapoteza ujasiri mbele yao. Hivyo, ubikira hulinda ndoa na kufanya kuwa imara.
 
Kwa mtu mweusi kiburi tu, kwa mzungu ni adventure....... maajabu kumi ya dunia, kwa mwarabu na mhindi mlango gani?upi? wa kuingia au wa?...siku ya harusi utaikuta tu ebo!, kwa kizazi cha leo bongo.... ipi? genuine au shanghai China? Original au made in kariakoo? Kwa Heavy duty mbona wote bikira tu? Kwa mrija wa kalamu.....do not let them anywhere near your infants...........

Kwa kizazi tulichonacho zaidi ya hayo hapo juu, hakuna kingine, kwanza hata raha huwa hakuna.... So stop being desperate!!!!!!!!!!!!!

Desperate people bana...uups...they can kula even ka paka nyau just looking for a ka-Bikra!!!!!!!
 
Issue ya Bikira Wazee ni ngumu sana. Waweza kumpata mwenye utepe na mara tu ya kuukata umeliwa Mzee watu wataatamia hayo Mayai mpaka wachoke. Kadhalika waweza kumpata mtu ambaye utepe ulishachukuliwa na wajanja lakini akawa ameshapata somo na ukimuweka ndani akawa ni mali yako pekeeee. Haya mambo Bwana yako so subjective. Kazi kwetu ambao tunasubiri wake wenye utepe, mie nadhani tutaoa YESU atakaporudi siku ya mwisho

Gofu
 
Kama tuliweza kubuni kwamba ni lazima shuka jeupe litandikwe ili kungalia damu naamini hakuna linaloshindikana chini ya jua kama tukiamua kujishughulisha ili kutafuata njia ya kujua mwanaume ambaye hajamjua bado mwanamke hilo litawezekana ndugu yangu.

This may require a real stretch of imagination. Hebu jiulize ilitokeaje wahenga walioweza kuja na mila zinazoshabihiana duniani kote kuhusu mahusiano ya mke/mume bila kukutana walishindwaje na hili hadi leo hakuna jamii yenye tekniki hiyo. Labda tuwasikilize madaktari kama sayansi inaweza toa jibu.
 
any proved added advantage? kitu chenyewe kinatoka, kingekuwa hakitoki ingekuwa something else!
No big deal!
 
This may require a real stretch of imagination. Hebu jiulize ilitokeaje wahenga walioweza kuja na mila zinazoshabihiana duniani kote kuhusu mahusiano ya mke/mume bila kukutana walishindwaje na hili hadi leo hakuna jamii yenye tekniki hiyo. Labda tuwasikilize madaktari kama sayansi inaweza toa jibu.

Kwasababu mfumo dume ulikuwepo hata kabla ya YESU na Mtume Muhamad na hata wao walipokuja waliendeleza mfumo dume..thats why walengwa katika suala la ndoa ni wanawake pekee..ndio maana leo ni ruksa mwanaume kuwa na wake 2 ama wa 3 lakini ni haramu kwa mwanaume.Mwanamke kujitunza it is ok lakini wanaume hatufuatiliwi..mwanamke akitoka nje ya ndoa ama mahusianao nai jambo la ajabu sana lakini kwa mwanaume ni jambo la kawaida.Mimi nakwambia njia za kutambua tukiamua kukuna vichwa zitapatikana tu. Kama tunaweza kupima DNA na kujua mtoto ni wako ama la kwanini tusijue mwanaume ambaye hajamjua mwanamke bado?
 
Ubikira kwa mwanamke huweka kumbukumbu imara kwa mume wake daima. Na hivyo, hata akimwegwa nje, provided other things are okay, hawezi kumfuta mumewe akilini mwake. Ndio maana inakuwa vigumu kuamini kuwa mwanamke anaweza kustop completely an affair na fisrt lover, provided hawakugombana kiasi cha kutosuluhishwa, na hata hivyo ni rahisi sana kumsamehe akijitokeza kuomba radhi kwa kile alichokosea. Naamini kuwa mwanamke anaweza kuachana na wanaume wote daima, isipokuwa wawili tu; yaani aliyemuondolea ubikira na yule aliyepata kuzaa naye. Anaweza kuachana nao, lakini lazima atapoteza ujasiri mbele yao. Hivyo, ubikira hulinda ndoa na kufanya kuwa imara.

Hiyo kumbukumbu huwa kwa Mwanamke pekee,inamaana mwanaume yeye hathamini bikira?
 
Kutukuza ubikira siyo mila ya Waafrika tu; karibu jamii zote duniani katika kipindi fulani zimewahi kutukuza hilo na nyingine hata leo bado zinafanya hivyo. Zina faida gani? sijui, zina manufaa gani sijui, zinanufaisha vipi jamii? sijui-naweza kukisikia tu. Ninachojua ni kuwa at one time itabidi zinapaswa kuondolewa ili kuendeleza kizazi kijacho.
 
...Bikira ilikuwa na umuhimu kwa vizazi vingi katika Tanzania lakini kama mila na tamaduni hupitwa na wakati hivyo kukaribishwa taratibu mpya kwenye jamii. Hivyo bikira zimebaki nadra na adimu kuzikuta kwenye jamii na kupungua kwa umuhimu wake kama zama za nyuma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom