Hivi Benno Malema anajisikiaje?

Tiote

Senior Member
Mar 6, 2011
139
36
Hivi karibuni Julius Malema, kiongozi muasi na mbaguzi wa Umoja wa Vijana wa ANC, ambaye hata hivyo amefukuzwa uongozi na kuvuliwa uanachama amenukuliwa akisema kwamba amepokea salaam za pongezi toka kwa wenyeviti wa Youth Leagues za ZANU PF na CCM. Taarifa hiyo imekariri na kunukuu salaam zilizotumwa na Benno Malisa (Benno Malema) akimuita Malema kama shujaa. Kitendo hiki kimeuudhi uongozi wa ANC.

Bila kujali kwamba CCM itachukua hatua gani dhidi yake, swali la kujiuliza ni kwamba je, Malisa amepongeza uasi huo wa Malema au alichopongeza na kukiona cha maana ni ubaguzi uliojikita katika hulka ya Malema? Je, mapenzi yake kwa Malema yanaweza kutafsiriwa kuwa chanzo cha uasi wake kwa Chama chake, Kama tulivyoushuhudia hivi karibuni?
 
Typical of Lowassa hire guns, the boy has no brain at all. His juvenile and reckless moves have set his party into a collision course with the oldest party on the continent. I hope the powers that be will teach him a lesson by striping him of all positions he holds in the party!
 
Kanogewa na vipande thelathini vya fedha na sasa Hana breki na anadhani anaweza kuongea lolote. I used to admire the boy kumbe ni bure Kabisa!
 
Sina heshima na huyu dogo anayetumika Kama mpira wa kiume. Ukiona mtu anaukata mkono unaomlisha basi ujumbe huyo hafai kuwa naye karibu na sasa laana imemzingira. Tunasubiri kule alikokumbatiwa amwagwe halafu aingie barabarani kuokota chupa.
 
I am speechless!!......lakini labda naye atakwend akujisajili kuwa mwanafamilia katika ile first family ya awamu ya kwanza.
 
Equally speechless. Hivi registration ya kuwa sehemu ya first family inafanyikia wapi na vigezo ni nini?
 
Wa kumlaumu ni Riz one kwa kumbeba mtu mwenye uwezo mdogo kama huyu hadi kuwa mkiti wa vijana Taifa.
Si ajabu akamsaliti kwa vipande vya fedha.
Afanyayo ni matokeo ya uwezo wake wa akili
OTIS
 
Wa kumlaumu ni Riz one kwa kumbeba mtu mwenye uwezo mdogo kama huyu hadi kuwa mkiti wa vijana Taifa.
Si ajabu akamsaliti kwa vipande vya fedha.
Afanyayo ni matokeo ya uwezo wake wa akili
OTIS

Hakuna aliyejua kwamba kijana angegeuka kuwa kituko tunachokishuhudia leo. Shida na tamaa ya kuishi vizuri bila kutoa jasho ndivyo hasa vinampeleka mbio. Kwamba amemsaliti Riz One, hilo halina ubishi lakini kwa jinsi umma unavyomlaani anafikiri yuko kwenye majuto makali sana.

Sasa hata wale waliomtuma wameshamuona useless na sasa hata huko hatakiwi na ule uenyekiti ndo asahau!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom