hivi bastola ya kanumba iko wapi?

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
nilisikia kanumba alikua anamiliki mguu wa kuku.cha kushangaza polisi baada ya kwenda kwa kanu walikuta panga 2,je ile bastola iko wapi? Kwa anaejua
 
kwa hyo kila unachosikia unauliza ukidhani ni kweli? Za kuambiwa changanya na za kwako......
 
hata kama alikuwa nayo inakuhusu nini, mwisho wa siku utauliza vipi ile suti yake nyeusi iko wapi
 
nilisikia kanumba alikua anamiliki mguu wa kuku.cha kushangaza polisi baada ya kwenda kwa kanu walikuta panga 2,je ile bastola iko wapi? Kwa anaejua
Mie nilishuhudia, wamemzika nayo ! Kaburi ni kubwa lile na waliweka na zege juu, hivyo kuna usalama wa kutosha
 
Back
Top Bottom