KIMICHIO JF-Expert Member Aug 12, 2010 1,179 80 Jun 12, 2011 #2 Siku izi tanzania si nchi ya kifalme mkuu!!??
William J. Malecela R I P Apr 27, 2006 26,588 10,375 Jun 12, 2011 #3 - Balozi Seif alichaguliwa ubunge jamani, mbona sometimes tunajishusha sana humu na ishus ndogo sana! Es!
- Balozi Seif alichaguliwa ubunge jamani, mbona sometimes tunajishusha sana humu na ishus ndogo sana! Es!
trachomatis JF-Expert Member Jun 7, 2011 3,758 736 Jun 12, 2011 #4 Kweli lazima tuwe wafuatiliaji makini kabla ya kupost maoni yetu!
VIKWAZO JF-Expert Member Apr 9, 2011 1,899 580 Jun 13, 2011 #5 Hmaster said: Click to expand... mimi wasiwasi wangu ni hao hapo juu sijui kama ni siasa hapo wanavyotazamana na hizo ni sit za kudumu kwa miaka mitano
Hmaster said: Click to expand... mimi wasiwasi wangu ni hao hapo juu sijui kama ni siasa hapo wanavyotazamana na hizo ni sit za kudumu kwa miaka mitano
Utingo JF-Expert Member Dec 15, 2009 10,270 8,031 Jun 13, 2011 #6 VIKWAZO said: mimi wasiwasi wangu ni hao hapo juu sijui kama ni siasa hapo wanavyotazamana na hizo ni sit za kudumu kwa miaka mitano Click to expand... mhhh......XXX factor!!!???
VIKWAZO said: mimi wasiwasi wangu ni hao hapo juu sijui kama ni siasa hapo wanavyotazamana na hizo ni sit za kudumu kwa miaka mitano Click to expand... mhhh......XXX factor!!!???