Hivi,bajeti hainaga chenji?

J.K.Rayhope

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
316
31
Wadau wote wa JF,Salaam kwenu wote wanajamvi.Swali langu ni moja tu.

Nimepata mshtuko mkubwa sana baada ya kubaini kwamba hakuna waziri wa fedha hata mmoja aliyerudi na hata kijisenti kimoja kwamba na chenji ya bajeti,hivi haiwezekani au?

Hata ile miradi ambayo fedha haikutumika, eti nazo huwa zinapotea. Hivi kwenye bajeti hakunaga masilesile yanayobakia?
 
Back
Top Bottom