Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,671
- 40,912
Baada ya Adam na hawa kuumbwa sijasikia tena wala kusoma kama uumbaji uliendelea kufanyika.sote baada ya hapo tumekua tukizaliwa tu!
Sijaona dunia ikijaa wala kusikia mbingu kujaa!
Nahisi watu wanaokufa na kuzaliwa tena no wale wale tu! Kama sio wale wale! Basi dunia ingejaa na mbingu pia, ila kwakua namba inayotoka no sawa na inayoingia basi dunia haitajaa milele!