Hivi baada ya hapo anakuwa mkeo tena.......?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Mwanamke hukumkuta bikira, mmekutana kila mtu ni mtaaluma. unaenda kwa mganga wa kienyeji kufanyia miziziology , anachukuliwa na jamaa guest wananatiana hadi jamii yooote wanajua na siku hizi picha kabakaba za simu na zinaenea ktk mitandao yooote,(hakuna siri) je ndo umemkomoa au umejikomoa, inakuwaje baada ya hapo......?
 
unamfanyia miziziology halafu anachukuliwa tena? mbona ngumu kueleweka...
 
Mwanamke hukumkuta bikira, mmekutana kila mtu ni mtaaluma. unaenda kwa mganga wa kienyeji kufanyia miziziology , anachukuliwa na jamaa guest wananatiana hadi jamii yooote wanajua na siku hizi picha kabakaba za simu na zinaenea ktk mitandao yooote,(hakuna siri) je ndo umemkomoa au umejikomoa, inakuwaje baada ya hapo......?

Hapa hata mimi sijakuelewa!
 
Kama mpango wa kumuacha huna utakua mpumbavu. . .kama unao basi umemkomoa yeye na hawara yake.
 
sijaelewa kitu, ulitaka kufikisha ujumbe gani?

Kongosho
Wifi hujala bado?

Anauliza watu wanaokamatana ugoni kwa njia za kisasa (kunasisha wahusika) wanamkomoa nani? Na je mtu akimkamata mke wake kwa style hiyo anarudiana nae?
 
Last edited by a moderator:
Nilikua sijaelewa but thank you Lizzy nimeelewa sasa..
From there sidhani kama wataendelea kuwa mume na mke,hakuna atakaye kua tayari kuendeleza mahusiano na mwenzie...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom