ADAM MILLINGA
Senior Member
- Apr 27, 2011
- 117
- 13
Habari za jioni wana jf hivi tabia ya polisi kuwabambikizia makosa rahia itaisha lini sio siri inaniuma sana umefanya kosa kidogo utapewa kosa hilo adi utashangaa utasikia umevunja maduka ya muhindi mara umeua kwa kutumia siraha kumbe maskini hata kuishika huwezi ila nasema nitakuwa tayari kuuliwa au kujiua endapo mim nitakutwa na jambo ilo kwan nitakacho kifanya kitaishangaza dunia, tanzania bwana bora ningezaliwa iraq nijue nipo vitani kuliko maonevu ya tz
nimechoka sana na mambo ya tz
nimechoka sana na mambo ya tz