Hivi augustino mrema nae ni doctor?

Hana! Hajawa na hatapata kamwe u dr ktk dunia hii labda ahera!! Kwasasa yeye ni sawa na Dr manyaunyau,ntambanamungu,kifimbocheza,kalimauganga,rais mkweere, ndodi nk
Haswaa umenena tena u Dr wake hautofautiani na wa mfugaji mmoja mkazi wa VICHUGUUNI huko KASKAZINI MWA TZ
 
Back
Top Bottom