Hivi akili za mzee moses nnauye zilikuwa ni sawa na hizi za mwanae nape??

Mtaongea sana

Siasa ni kitu kimoja,uwezo na haiba ya mwanasiasa ni kitu kingine lakini ili uwe mwanasiasa mzuri ni lazima

uuvae uana siasa yaani uwe tayari hata kutabasamu ktk jambo ambalo unapaswa kukunja ndita[hypocricy] bila hilo hakuna siasa wala

mwanasiasa, Nape anatimiza siasa na uanasiasa.








"ROMA LOCUTA,CAUSA FINITA"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom