King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,625
- 68,546
Unaonaje tukianza kukuchambua wewe ndio tukaja kwa hao wengine?
Kati ya Kupe na Ritz nani zaidi kimtazamo,kiakili na ukilaza?
Unaonaje tukianza kukuchambua wewe ndio tukaja kwa hao wengine?
Okay mkuu nimekusoma!
Kwa anaye wafahamu hao watu wawili KIBONDE na JOSEPH MBILINYI au SUGU. atujuze yupi zaidi ki upeo, akili , elimu na uchambuzi wa masuala mbalimbali .